Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Watu mna siri.... Nimeumia sana. Kumbe kuna kipindi mlikuwa mnapata vitu vya bure hata sisi wengine hamkutuambia?
Ni miaka gani hiyo bandugu? Sisi tuliozaliwa early 70s nadhani hilo neno halituhusu. Maana sikumbuki mimi ni vitu gani tulipewa bure na sasa tunatakiwa kulipia. Sikumbuki kabisa.
Nachosikitika inawezekana wakati mimi nalipia wenzangu walikuwa wanapewa bure.... Ni vitu gani ambavyo watanzania mlikuwa mnapata bure na sasa Rais anasema muanze kulipia?