Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Aaargh.... Hii siyo issue. Miaka yote tunalipia in kind. Na kama mlipewa bure waliowapa bure waliwezaje?Elimu bure labda
Kweenye Elimu,Miaka ya zamani na hakuna mTanzania anayefikiria hayo kwa sasa. Hili halina hata mtu anayelifikiria kwa sasa.Chizi Maarifa umesahau enzi zenu hizo shule bure, vyuo bure mpaka kwenye treni na mabasi ya abiria mnatumia vipande vya vitambulisho?
Mama yenu aache PorojoWatu mna siri.... Nimeumia sana. Kumbe kuna kipindi mlikuwa mnapata vitu vya bure hata sisi wengine hamkutuambia?
Ni miaka gani hiyo bandugu? Sisi tuliozaliwa early 70s nadhani hilo neno halituhusu. Maana sikumbuki mimi ni vitu gani tulipewa bure na sasa tunatakiwa kulipia. Sikumbuki kabisa.
Nachosikitika inawezekana wakati mimi nalipia wenzangu walikuwa wanapewa bure.... Ni vitu gani ambavyo watanzania mlikuwa mnapata bure na sasa Rais anasema muanze kulipia?
Labda wanapeana bure wenyewe....kajisahau kufafanua(okkkk,nahisi umeme wa 27)Watu mna siri.... Nimeumia sana. Kumbe kuna kipindi mlikuwa mnapata vitu vya bure hata sisi wengine hamkutuambia?
Ni miaka gani hiyo bandugu? Sisi tuliozaliwa early 70s nadhani hilo neno halituhusu. Maana sikumbuki mimi ni vitu gani tulipewa bure na sasa tunatakiwa kulipia. Sikumbuki kabisa.
Nachosikitika inawezekana wakati mimi nalipia wenzangu walikuwa wanapewa bure.... Ni vitu gani ambavyo watanzania mlikuwa mnapata bure na sasa Rais anasema muanze kulipia?
Namuona jamaa angu APA anawasha mshumaa ili aendelee na kaz... Umeme hamna Af duka la dawa.....khaaaaaaaLabda wanapeana bure wenyewe....kajisahau kufafanua(okkkk,nahisi umeme wa 27)
Yaan daaahN
Namuona jamaa angu APA anawasha mshumaa ili aendelee na kaz... Umeme hamna Af duka la dawa.....khaaaaaaa
Mbona na wenyewe tunalipia nguzo wanasema ni mali ya tanesco na umeme tunanunua tunakatiwa tunashinda hatuna vile vile au unazungumzia maji yapi hayo ambayo hayulipii bili na umeme luku imewekwa juu kabisa nje ya nyumbaNadhani atakuwa anazungumzia umeme na maji.
Wakina age ya 70 before labda watuambie ilikuwaje maana wenzangu na mm ....labda historia ya kale ndo tumekarr ...watuambie maana bei ya v2 inapanda na kushuka daily ata tumekaa kimya amna wa kuongelea hili somo ....duh sielewii ata itakuaje hali ikiendelea ivYaan daaah
Lini umeme na maji watu mlipewa bure? Sisi wengine tunalipia miaka yote.Nadhani atakuwa anazungumzia umeme na maji.
Kwa mtazamo wake anaona tunapata bure ndio maana hata ukipanda bei leo jibu ndio hilo hilo msipende dezo.Mbona na wenyewe tunalipia nguzo wanasema ni mali ya tanesco na umeme tunanunua tunakatiwa tunashinda hatuna vile vile au unazungumzia maji yapi hayo ambayo hayulipii bili na umeme luku imewekwa juu kabisa nje ya nyumba
Kwa mtazamo wake anaona tunapata bure ndio maana hao jamaa wa Arusha walivyoshauri wapunguziwe bei ya maji karudia jibu lake la siku zote bure ghali ingekuwa ni maamuz yake angelipisha hata kivuli ndio maana kuna umuhimu wa kupata mtoto wa mkulima Jiwe.Lini umeme na maji tunalipia miaka yote.