tajiri tumbo kubwa
JF-Expert Member
- May 27, 2021
- 429
- 567
wana uzaje mbuzi na ng'ombe?Njoo moro tununue kwa Wamasai kwenye minada na nyumba kwa nyumba
Kuanzia 30k to 50k na kumbe mkubwa ni kati 300k to 400kwana uzaje mbuzi na ng'ombe?
asante sana , sukraniMbuzi Handeni Tanga
wako wengi mkuuNjoo moro tununue kwa Wamasai kwenye minada na nyumba kwa nyumba
Hao ni watoto wa Mbuzi unaoongelea. Mbuzi wa maana wanaanzia 60K upKuanzia 30k to 50k na kumbe mkubwa ni kati 300k to 400k
MbuziHabari wakuu, kaa kichwa kinavyosema, swali langu ni hii, je ni mikoa gani ambayo unaweza pata mbuzi wengi zaidi, na ngombe wa kununua, yaani kwa ufupi ni mikoa a wilaga gani zina mbuzi na ngombe wengi zaidi?
Natanguliza shukrani?
Niliwaona Singida pia...Mbuzi Handeni Tanga
Naona leo umetoa mwogozo..hongera sana.Niliwaona Singida pia...
Hakika...Naona leo umetoa mwogozo..hongera sana.
#MaendeleoHayanaChama
Wasukuma wamehamia sana maeneo ya katavi..rukwa..morogoro hasa malinyi..rufiji na liwale..wana ng'ombe za kutosha asikose kufika huko pia kucheki.Mbuzi
Dodoma
Singida
Tabora
Shinyanga
Ng'ombe
Manyara
Simiyu
Geita
Shinyanga
Kagera
Kondoo
Arusha
ASANTE SANA, barikiwa sanaMbuzi
Dodoma
Singida
Tabora
Shinyanga
Ng'ombe
Manyara
Simiyu
Geita
Shinyanga
Kagera
Kondoo
Arusha
shukrani sanaLindi na Rufiji ni migodi mipya ya ng'ombe