Ni mikoa gani ambayo ina mbuzi wengi na ng'ombe wengi zaidi?

Ni mikoa gani ambayo ina mbuzi wengi na ng'ombe wengi zaidi?

tajiri tumbo kubwa

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2021
Posts
429
Reaction score
567
Habari wakuu, kaa kichwa kinavyosema, swali langu ni hii, je ni mikoa gani ambayo unaweza pata mbuzi wengi zaidi, na ngombe wa kununua, yaani kwa ufupi ni mikoa a wilaga gani zina mbuzi na ngombe wengi zaidi?

Natanguliza shukrani?
 
Mbuzi
Dodoma
Singida
Tabora
Shinyanga

Ng'ombe
Manyara
Simiyu
Geita
Shinyanga
Kagera

Kondoo
Arusha
 
Mbuzi
Dodoma
Singida
Tabora
Shinyanga

Ng'ombe
Manyara
Simiyu
Geita
Shinyanga
Kagera

Kondoo
Arusha
Wasukuma wamehamia sana maeneo ya katavi..rukwa..morogoro hasa malinyi..rufiji na liwale..wana ng'ombe za kutosha asikose kufika huko pia kucheki.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom