Ni mila zipi za kabila lingine uliwahi kukutana nazo zikakushangaza

Nimecheka km chizi haki ya nani
 
Km
Wambeya hapo vigelegele na pombe za kumwaga

Kwahiyo wachaga ukienda ukweni na kama hauna ndugu inatakiwa ulale hotel ama

Wazaramo ukitoka huko mkoleni wapata mchumba hapo hapo chezea vichuchu kuwa waz
Km hakuna hotel hata vichakana lala ila sio ndani ya paa LA ukweni
 
Duuuh ukipata ukilema je kwa kipigo
 

Safi sana wanawake wa Kinyantuzu. Hii mila ienezwe isibaki huko huko au kuachwa ife.
 
Km

Km hakuna hotel hata vichakana lala ila sio ndani ya paa LA ukweni
Hahahaha hawapendi ujinga ila ni ile heshima siyo wazazi wapo humohumo kwenye nyumba nyie chumba chengine mnagegedana
 
Wasukuma bwana..... kukiwa na sherehe hasa zile za kilimo wakati wa chakula ni ugali kwanza unatangulia, watu wanakula na kushiba halafu wali unafuatia. Yaani kwao wali ni mboga tu, ukiwapa wali na ndizi au nyama wanasema MBOGA KWA MBOGA.
So ukishiba ugali ndio basi tena wali unaishia kuuangalia?
 
Ni ugali mtupu bila mboga hata kidogo au ni vipi
 
Kila mwanaume anachapwa aiseee so hiyo hali ya kutembea na fimbo ni kwa muda gani
 
Kwa mtu wa kawaida asie mzoefu atashindwa kuendelea kula wali, maana atakuwa kesha shiba. lakini wao wanapakia tu, sijui hawashibagi! Wenyewe wanakuambia wali ni kishushio tu hauna nguvu mwilini.
Na huo ugali ni mtupu kabsa au una vimboga kidogo
 
Na huo ugali ni mtupu kabsa au una vimboga kidogo
Wasukuma kwenye chakula hawajinyimi. Hapo kama kuna shughuli lazima ng'ombe au mbuzi achinjwe, Nyama kwa sana. huwa wananifurahisha sana kwenye maakuli. Unakula nyama hadi unazichoka, au samaki hadi unakimbia. Wasichojua ni kuunga mboga! Nyama inachemshwa tu na kuliwa bila viungo (yaani wanakula ugali, mboga ni supu).
 
Kuna jamaa wa mkoa wa mara ,mtu mzima kakaake akisafiri analala chumbani kitanda kimoja na mke wa kakaake .anadai kawaida bro akirudi namba shida.hii ilikuwa 1990s
 
Baada ya msosi huo wa nguvu unaletewa wali si utavimbiwa jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…