Queenever
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 2,051
- 3,018
Nimecheka km chizi haki ya naniBibi yangu aliwahi nihadithia kuwa wao (wanyaturu) zamani zile kama mwanaume amerudi kutoka kunywa pombe anahasira basi mke anachukua kigoda anakaa uwani anapigwa weeeeee hadi mwanaume hasira ziishe then maisha yanaendelea. [emoji134][emoji20][emoji22]