Ni mila zipi za kabila lingine uliwahi kukutana nazo zikakushangaza

Hahahaha hivi ugoro wanawake pia wanakula?

Yupo msituni kuna fimbo kibao anafunga safari kuifata fimbo aliyoizoea hahaha wewe haiwezekani bhana

Alaa kumbe wanawaogopa wamang'ati eeh
Mang'ati habari nyingine hiyo mkuu
 
Mm nashangazwa na Mila za kizungu Kutengeneza sanamu la msanii wa maigizo kisha kuliabudu na kuliita Mungu au Mwana wa Mungu. Hapa tu ndio wazungu wameshindwa kutumia akili
Achana na huyo ..akikua ataacha!!!
 
Tulienda kuposa binti mmoja huko Horohoro, karibu na mpaka wa Kenya, kama ilivyo ada siku zote watanzania tumezoea amani...na upendo ndio jadi yetu..sasa hawa wasomali wakwe zetu, kumbe wana tabia ya kupiga risasi hewani kama furaha yao kudhihirisha binti anaondoka kwa usalama au kufurahia ujio wa wageni waliokuja kuposa...sasa imefika wakati wa kuchukua jiko letu..si zikapigwa hewani bhana...ilikuwa mshikemshike..wa nje alikimbilia ndani na wa ndani alitoka nje, kati yetu hakuna aliyebaki mahali pale...jamaa walitucheka sana na mwisho kutuletea mwali wetu kwenye magari yetu..dah mila hizi bhana! Nikikumbuka huwa nacheka sanaaaaa...
 
Mila zinazoniacha hoi ni za nyanda za juu bara, mtoto wa kike akishavunja ungo tu anachiwa kuwa huru sana kiasi ambacho wazazi huwa hawamfatilii mtoto wao, hata akilala nje wao hawajali, akileta hela nyumbani wao wanafurahia bila jujali kuwa huyo mtoto hozo hela kazipata wapi au alifanya kazi gani{hata kama alikeep dog out}[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Nakuunga mkono 56%
 
Hatareeeeee
 
Sio mwenye pesa hata wakawaida ukuryani mwanamke anaweza oa mwanamke mwenzake inaitwa nyumba ntobhu
 
Wapo kwenye sherehe hali inakua hvyo je wakiwa na hasira inakuaje
 
Ndugu zangu Wahaya...... Ukiwa unaheshimika hasa msomi utakula shikamoo nyingi hadi za watu waliokuzidi umri.
Hili kabila kila mtu m
Hahahaha huko pesa tu hakuna mambo ya kuchungana
 
Hili kabila kila mtu m

Hahahaha huko pesa tu hakuna mambo ya kuchungana
Ndio maana hata under[emoji725] akija ghetto mi nagonga tu! Maana najua hata akienda kwao hela ikionekana hakuna noma.[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…