Mang'ati habari nyingine hiyo mkuuHahahaha hivi ugoro wanawake pia wanakula?
Yupo msituni kuna fimbo kibao anafunga safari kuifata fimbo aliyoizoea hahaha wewe haiwezekani bhana
Alaa kumbe wanawaogopa wamang'ati eeh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mang'ati habari nyingine hiyo mkuuHahahaha hivi ugoro wanawake pia wanakula?
Yupo msituni kuna fimbo kibao anafunga safari kuifata fimbo aliyoizoea hahaha wewe haiwezekani bhana
Alaa kumbe wanawaogopa wamang'ati eeh
Achana na huyo ..akikua ataacha!!!Mm nashangazwa na Mila za kizungu Kutengeneza sanamu la msanii wa maigizo kisha kuliabudu na kuliita Mungu au Mwana wa Mungu. Hapa tu ndio wazungu wameshindwa kutumia akili
Mkuu fafanua vizuri point yakoWanaume wa kichaga kutembea na wakwe zao
[emoji23][emoji23][emoji23]uongo usiovumilika(kidding)
Utasikia tu ijuubhaaaaa unkamu gwanguWanyakyusa njia nzima anaweza akawa kimya akikaribia eneo la tukio kama msiba aisee hicho kilio weka mbali na watoto..baada ya muda kidogo unamkuta mkavu
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Haiwezi kuwa hvyo mkuu
Sio ugonjwa mkuuDuh....hata mimi nimekutana nayo hi....nikajua labda ugonjwa....
Nakuunga mkono 56%Aisee kuna hawa waruguru WA morogoro aisee wana culture flani ya kigodoro aisee inaleta umaskini kwenye kaya zao halafu wala hata hawashutki walikua wanshangaza sana
Of course ni culture ya kishenzi sana kwenye jamii no future, poorer families, poor social economy,
High rate of HIV, poor and sometimes absence of social particularly family control in most cases
Wanachojua wao ni ngono tu na pombe vijana kucheza poor na mpira elimu ziro kabisa waha jamaa wao na culture yao ya kigodoro ni bure kabisa
Hiyo ya mwisho hutanii ni kweliWatu wa mbeya kupiga vigeregere msibani
Wachaga mwanaume kulala ukweni marufuku
Wazaramo kukaa maziwa wazi mkoleni
Wapare uchoyo( natania) haha
HatareeeeeeBibi yangu aliwahi nihadithia kuwa wao (wanyaturu) zamani zile kama mwanaume amerudi kutoka kunywa pombe anahasira basi mke anachukua kigoda anakaa uwani anapigwa weeeeee hadi mwanaume hasira ziishe then maisha yanaendelea. [emoji134][emoji20][emoji22]
Mkuu ,kazi njemaaa....
Sio mwenye pesa hata wakawaida ukuryani mwanamke anaweza oa mwanamke mwenzake inaitwa nyumba ntobhuHabari zenu waungwana natumai mko poa
Tanzania ina makabila mengi zaidi ya mia na kila kabila ina utaratibu wake uliojiwekea
Mila na desturi za makabila yetu zinatofautiana embu tujuzane ni kabila lipi uliwahi kusikia utamaduni wake ukakushangaza na kukustajabisha
Kwangu niliwahi kuambiwa na mama mmoja wa kikurya kuwa wao mwanamke mwenye pesa anaweza kumuoa mwanamke mwengine na kumtafutia wanaume akazaa nao kisha hao watoto ni wa mwanamke huyo mwenye pesa asee nilishangaaaa
Kwako je ushawahi kusikia,kuona mila za kushangaza
Wapo kwenye sherehe hali inakua hvyo je wakiwa na hasira inakuajeTulienda kuposa binti mmoja huko Horohoro, karibu na mpaka wa Kenya, kama ilivyo ada siku zote watanzania tumezoea amani...na upendo ndio jadi yetu..sasa hawa wasomali wakwe zetu, kumbe wana tabia ya kupiga risasi hewani kama furaha yao kudhihirisha binti anaondoka kwa usalama au kufurahia ujio wa wageni waliokuja kuposa...sasa imefika wakati wa kuchukua jiko letu..si zikapigwa hewani bhana...ilikuwa mshikemshike..wa nje alikimbilia ndani na wa ndani alitoka nje, kati yetu hakuna aliyebaki mahali pale...jamaa walitucheka sana na mwisho kutuletea mwali wetu kwenye magari yetu..dah mila hizi bhana! Nikikumbuka huwa nacheka sanaaaaa...
Hili kabila kila mtu mNdugu zangu Wahaya...... Ukiwa unaheshimika hasa msomi utakula shikamoo nyingi hadi za watu waliokuzidi umri.
Hahahaha huko pesa tu hakuna mambo ya kuchunganaMila zinazoniacha hoi ni za nyanda za juu bara, mtoto wa kike akishavunja ungo tu anachiwa kuwa huru sana kiasi ambacho wazazi huwa hawamfatilii mtoto wao, hata akilala nje wao hawajali, akileta hela nyumbani wao wanafurahia bila jujali kuwa huyo mtoto hozo hela kazipata wapi au alifanya kazi gani{hata kama alikeep dog out}[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Ndio maana hata under[emoji725] akija ghetto mi nagonga tu! Maana najua hata akienda kwao hela ikionekana hakuna noma.[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]Hili kabila kila mtu m
Hahahaha huko pesa tu hakuna mambo ya kuchungana