Ni mila zipi za kabila lingine uliwahi kukutana nazo zikakushangaza

Ndio maana hata under[emoji725] akija ghetto mi nagonga tu! Maana najua hata akienda kwao hela ikionekana hakuna noma.[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Ila mkuu angalia tusije tukakupoteza si unajua sheria za nchi hazitaki chini ya 18
 
Ndugu zangu Wahaya...... Ukiwa unaheshimika hasa msomi utakula shikamoo nyingi hadi za watu waliokuzidi umri.
Hili kabila kila mtu ana pesa na ni msomi wanaamkiana kweli hawa
 
Kabila moja huko Morogoro (sitaki kutaja jina), nilishangaa mtoto mchanga alifariki, baada ya mazishi, siku hiyo hiyo walivyotoka kuzika, wazazi wa marehemu (baba na mama) wanalazimishwa kufanya tendo la ndoa mbele ya wazee maalum, eti wanatakiwa kutengeneza mtoto mwingine haraka sana ku replace aliyefariki!
 
Mkuu umewasingizia bhana magodoro yavishwe nailoni kisa majimaji kwakua yanatoka kama maji ya bomba nini
 
Mkuu umewasingizia bhana magodoro yavishwe nailoni kisa majimaji kwakua yanatoka kama maji ya bomba nini

Kweli kabisa mkuu nakinachotoka sio majimaji bali nimaji haswa kiasi kwamba ukiwa mtaaluma mzuri wa kuyapiga asubuhi utakutana nayo sebuleni
 
Kweli kabisa mkuu nakinachotoka sio majimaji bali nimaji haswa kiasi kwamba ukiwa mtaaluma mzuri wa kuyapiga asubuhi utakutana nayo sebuleni
Hahahaha hayo maji waponayo wanawake wa huko tu maana sijawahi yaona
 
Uwiii hii ni kubwa kuliko
 
Uwiii hii ni kubwa kuliko
Yaani inaumiza sana, hebu imagine mwanamke unatoka kuzika mwanao halafu mkitoka makaburini cha kwanza ni hilo tendo, tena mbele ya "walinzi". hahahahaha uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
hivi umemaliza ile dozi yako ya kichaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani inaumiza sana, hebu imagine mwanamke unatoka kuzika mwanao halafu mkitoka makaburini cha kwanza ni hilo tendo, tena mbele ya "walinzi". hahahahaha uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Huyo mume huo mnara unasimama kweli maana una uchungu halafu kuna watu wanakutazama jamani jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…