Ahyan
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 2,310
- 5,482
Hebu soma umalize shule...Nna wasi wasi sijapata siku zangu nimechelewa wiki ya pili sasa mpaka naanza kuhisi nna mimba lakini pia nahisi ni hizi dawa je inawezekana ni chanzo? Nlijiskia kuumwa nlipoenda kupima nkaambiwa mma typhoid laja nlipoanza hii dozi ni siku ambazo mzunguko wangu unaanza. Mwenye kufahamu a nijulishe mana sina amani, huwa napata dalili zote za P lakini wapi haianzi na imechelewa wiki ya pili sasa [emoji22]View attachment 1717493
Hata hivyo Kwani unaogopa kuwa na mtoto