Ni mimba au wasiwasi wangu tu?

Ni mimba au wasiwasi wangu tu?

Nna wasi wasi sijapata siku zangu nimechelewa wiki ya pili sasa mpaka naanza kuhisi nna mimba lakini pia nahisi ni hizi dawa je inawezekana ni chanzo? Nlijiskia kuumwa nlipoenda kupima nkaambiwa mma typhoid laja nlipoanza hii dozi ni siku ambazo mzunguko wangu unaanza. Mwenye kufahamu a nijulishe mana sina amani, huwa napata dalili zote za P lakini wapi haianzi na imechelewa wiki ya pili sasa [emoji22]View attachment 1717493
Hebu soma umalize shule...
Hata hivyo Kwani unaogopa kuwa na mtoto
 
Nna wasi wasi sijapata siku zangu nimechelewa wiki ya pili sasa mpaka naanza kuhisi nna mimba lakini pia nahisi ni hizi dawa je inawezekana ni chanzo? Nlijiskia kuumwa nlipoenda kupima nkaambiwa mma typhoid laja nlipoanza hii dozi ni siku ambazo mzunguko wangu unaanza. Mwenye kufahamu a nijulishe mana sina amani, huwa napata dalili zote za P lakini wapi haianzi na imechelewa wiki ya pili sasa 😢View attachment 1717493
Kwani alikojolea ndani?
 
Dawa zenyewe ulizotumia hazitibu Typhoid.
Uliandikiwa na doctor kweli ? au muuza dawa ndie kakuchagulia ?

Kuhusu kutibu-inatibu
Ila inategemea na mwenendo wa usugu wa dawa husika pale alipo. Hatuji eneo alilopo.

Inawezekena hizi nyingine hazifanyi vyema pia, hivyo daktari akaenda kwenye ile ambayo haitumiki mara kwa mara kwa ugonjwa husika.

Ni kama wakati mwingine unapata resistance ya dawa nyingi kubwa kwenye UTI, lakini kama hauki sehemu unaweza kufanya culture, ukirudi kwa nitrofrantoin inakupa majibu mazuri kwa sababu hatuitumii sana kwa UTI. Kwa eneo nililopo.

Hivyo, ni vizuri kuelewa maamuzi ya daktari na mazingira yake.
 
Nna wasi wasi sijapata siku zangu nimechelewa wiki ya pili sasa mpaka naanza kuhisi nna mimba lakini pia nahisi ni hizi dawa je inawezekana ni chanzo? Nlijiskia kuumwa nlipoenda kupima nkaambiwa mma typhoid laja nlipoanza hii dozi ni siku ambazo mzunguko wangu unaanza. Mwenye kufahamu a nijulishe mana sina amani, huwa napata dalili zote za P lakini wapi haianzi na imechelewa wiki ya pili sasa 😢View attachment 1717493

Pole,
Ni kweli kuwa kwa mwanamke yeyote aliye kwenye umri wa kuweza kupata ujauzito ni vyema kujitathmini anapokosa siku zake za hedhi.

Suala la kwanza kama hanyonyeshi ni kupima ujauzito kama alishiriki tendo, iwe ni kuanzia siku 12-20 baada ya siku ya tendo.

Tunahitaji kuelewa kuwa ubongo ndio unakontrol mzunguko mzima wa hedhi, hivyo chochote kinachoathiri ubongo kwa njia moja au nyingine chaweza kuathiri upatikanaji, kiwango na urefu wa mzunguko. Vitu hivyo ni kama:
1: Wasiwasi
2: Stress
3: Mabadiliko ya hali ya hewa/safari toka mkoa mpaka mkoa mwingine
4: Ugonjwa wowote na mapokeo yake
5: Baadhi ya matumizi ya madawa
6: Kazi nzito/mazoezi
7: Lishe duni
8: Mshituko wa ghafla
9:.......nk

Ni mhimu kutathmini katika hayo na mengine hali hii inapojitokeza kwa wale wenye mzunguko unaoeleweka.
 
Ayo makalio yaliyo viringwa na manyavu kwenye Avatar yako unamtega nani?
Kafri we
 
Unawaza sana mimba kama ilikua unajigjig bila zana tegemea pia hilo
 
Kuhusu kutibu-inatibu
Ila inategemea na mwenendo wa usugu wa dawa husika pale alipo. Hatuji eneo alilopo....
Choice ya dawa huwa ni zaidi ya moja ndio.

Lakini swali linakuja unaweza tibu minyoo kwa Amoxicillin ??
 
Kwa avatar yako tu dhahili hiyo ni mimba mkuu hakuna haja hata ya vipimo.

Anza kwenda clinic mama kijacho!
 
Back
Top Bottom