Bado hajapona vizuri hana ule msukumo wake wa kutosha,(drive and energy)Kwa mechi kama tatu tangu arudi uwanjani baada ya kelele kuwa nyingi bado naona Pacome hajawafiti kucheza game tough na game ya final FA anahitajika sana nadhani game ijayo atapumzika.
NB: Hawa wachezaji walindwe au wajilinde na vishangazi aina ya mobeto vile havijui chochote kuhusu mpira kanaweza kumpa mbunye hata siku moja kabla ya game hali itayo athiri uwezo wake uwanjani.
Hagusani na pia hachezi kwenye maeneo korofiNamuona hataki kbs hata kugusana na mchezaj pnzan anacheza ile mipira soft si kama mwanzo nadhan ameshauliwa acheze hivyo pengne sababu hajawa fit..nadhan mpk next season ndo tutamuona kwny ubora wake akiwa kapona kbs na uwenda anachezeshwa kuzma yale makelele ya watu.
ni kweli hajapona vizuriKwa mechi kama tatu tangu arudi uwanjani baada ya kelele kuwa nyingi bado naona Pacome hajawafiti kucheza game tough na game ya final FA anahitajika sana nadhani game ijayo atapumzika.
NB: Hawa wachezaji walindwe au wajilinde na vishangazi aina ya mobeto vile havijui chochote kuhusu mpira kanaweza kumpa mbunye hata siku moja kabla ya game hali itayo athiri uwezo wake uwanjani.
Sahihi hatujifunzi kwa wenzetu mtu msimu mzima hachezi... Hivi Ocra nae vipi?Gamondi alivyokuwa hamchezeshi watu walipiga kelele za kutosha. Lakini alisisitiza kumlinda mchezaji. Nadhani watu wajifunze kuheshimu taaluma na afya za wachezaji sio kelele.
Okra hata taarifa hakuna ila kwenye medali Alikuwepo.Sahihi hatujifunzi kwa wenzetu mtu msimu mzima hachezi... Hivi Ocra nae vipi?
Wachezaji Huwa wanaumia kwenye mazoezi piaOkra hata taarifa hakuna ila kwenye medali Alikuwepo.
Pacome ameshapona kinachohitajika ni kupewa muda wa kutosha kucheza.Mkude kashafanya yake
Okra hayupo kwenye mipango ya Gamondi. Hajamuelewa.Okra hata taarifa hakuna ila kwenye medali Alikuwepo.