Ni Mimi tu inanitokea au lah! !!!

Ni Mimi tu inanitokea au lah! !!!

Vipi hela unazo ???kama hela huna achana nao tafta hela hao wanapenda hela .ukiwa nahela mpaka utawakimbia dogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
acha kukariri dogo, unless unaongelea vichupi-kunuka,madem wanaojitambua huwapati kwa gia hiyo,akishagundua una element za kiduanzi kutumia vipesa-mbuzi vyako kama kilainishi lazima akutoe nduki na hurudi tena kwa jinsi utakavyovurugwa.
 
Kijana... kutongoza ni sanaa km ilivyo sanaa nyingine km ilivyo sanaa ya kuimba ngonjera,
Kwa mtazamo wangu, naona bado hujajua kupangilia maneno yako vizuri ndo mana hadhira hawaelewi sanaa yako.

Moja ya sifa ya sanaa hii, hakuna kijana mwenzako atakayeweza kukuruhusu uhudhurie akiwa anatongoza ili uweze kuiba mistari ya beti zake.

Utajuaje sasa? Watu woooote huwa tunajifunza kwa kukosea kosea, hapo kwenye wawil, safar ndo imeanza... wakija kufika kama nane hivii.. ( inategemea na uwezo wako wa kuwah kutambua makosa na kujirekebisha)... utashangaa aibu imeisha kabisaa hlf unaanza kuwapanga tuu watoto.. j3 asha j5 maimuna, huku wkend ukimaliza na mwajuma.

Kila la kheri kijana, ila jiandae kutafutwa na makaka wa hao mabinti... maana dada anaumaaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chura wamejaa hadi benki bar hujawaona ila kumbuka kiu hio haishi kamwe itakua endelevu mwishowe utaangamia
 
Pole sana...
Kwa nini uumie baada ya kukataliwa...

Kwa kila jambo unalotaka au kulifuatalia... Expect less, be positive kubali matokeo... Let go... Jenga tabia ya yes or no yote ni positive answers to you..


Cc: mahondaw
 
Unavomtongoza mpe ata jelo ya vocha siku izi hatutongozi kama sinema za kihindi, ukimwona dem ukimkubalipige chipsi, mpige soda, mpige vocha kashakwisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ongeza maujanja dogo usisahau uongo ndio mwisho wao.
Hahahhaaaa, women like what they hear thats why men lie and men like what they see thats why women fake themselves!

Kupima mkojo na uchochezi wapi na wapi??
 
Back
Top Bottom