Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Haaaa[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] demiNakaribisha mtongozo wako kwangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haaaa[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] demiNakaribisha mtongozo wako kwangu
Hakuna kitu kama hicho tena ukikutana naye msalimie kwa bashasha ukiomuogopa ndiyo utachekwaNajua hawezi fanya kitu ila nafikiria atakuwa ananionaje au ananielezea vipi kwa wenzake! Yaani inaniuma mpaka basi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mdogo wako atapotea kubeba MINKULA huko baa, mwambie asome kwanza kadri muda unavyosonga na ujasiri unamjaa kama simba mawindoniTafta mwingine sasa kwani hapo mtaani wameisha ???nenda hata baa yajirani kabebe mabaamedi .
Sent using Jamii Forums mobile app
Kasome wewe mtoto sio lazima ukimpenda mtu naye akupende noYaani inaniuma maana toka mimaliza A level mpaka Leo duh! Simuelewi huyu binti
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani ana 21 hapo 1996 shida iko wapi mbona inatosha sana hiyo miaka?Nahisi kama vile umedanganya hapa
Hivyo ww ulianza standard one ukiwa na miaka 4 duuh lkn syo issue sana
Huko Chuo hujaona kipenda roho chako?...
Wanawake wanajua wenyewe wanataka nini?...siyo hiyo elimu yako wala pesa zako
Sawadada jitahidi wanao wakifikisha miaka 18 watoe nyumbani wajitahidi kuanza maisha yao mapema ya kujitegemea...sio mtu mpaka 20+ bado tu upo nyumbani
Hahahahaa [emoji3] [emoji3] [emoji3]Sina imani kama ni pesa coz wenyewe wanaishi Maisha ya tabu kiasi kwamba natamani hata kumsaidia but hiyo nafasi ananinyima?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta basha akuanzishe somo utashinda na utawapata wanawake saaaaaana tena saaaana,basha akufungue kwanza ili nawe uwafungue wanawake.Habari za wakati huu wanajf!!
poleni na majukumu ya siku ya Leo!!
Niende moja kwa moja kwenye mada.
mimi ni kijana Nina miaka 21.
Nina tabia moja ambayo nashindwa kujua ni tabia ya aina gani.
Nimetongoza wasichana wawili toka nianze Ku..... na wote wamenikataaa kwa sababu wanazozijua wenyewe...
sasa inakuja hivi naumia sana mpaka hata nikimuona msichana mwenyewe natamani kubadilisha njia ili hali tusionane.
Naomba kuuliza kwa wenye uzoefu na mambo haya! hii hali inanitokea mimi tu.... au hata na wengine? Na kama ni hali ya kawaida wewe ulitumia njia gani kuishinda hali hii?
Sent using Jamii Forums mobile app
unakosea huyu sio mkuuMkuu komaaa tu, kubadili njia si solution but face her kama mbwai na iwe mbwai
Face her forthly don't fear
Sent using Jamii Forums mobile app