Ni Mimi tu inanitokea au lah! !!!

Ni Mimi tu inanitokea au lah! !!!

Nahisi kama vile umedanganya hapa

Hivyo ww ulianza standard one ukiwa na miaka 4 duuh lkn syo issue sana

Huko Chuo hujaona kipenda roho chako?...

Wanawake wanajua wenyewe wanataka nini?...siyo hiyo elimu yako wala pesa zako
Jamani ana 21 hapo 1996 shida iko wapi mbona inatosha sana hiyo miaka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa nyinyi mnaomwambia akasome wakati nyinyi pia kipindi mnasoma mlifanya pia mambo haya

mkuu jiamini jikubali utaweza kumface, ila kipaumbele shule

be___blessed
 
Nakushauri fanya kama ninavyofanya mimi yaani nikimtongoza demu halafu anikatae namchapa makofi, mtama , head namsukuma chini halafu nampa amri ya kunikubali vinginevyo kila tukionana anachezea kichapo tu.
 
Habari za wakati huu wanajf!!
poleni na majukumu ya siku ya Leo!!

Niende moja kwa moja kwenye mada.
mimi ni kijana Nina miaka 21.
Nina tabia moja ambayo nashindwa kujua ni tabia ya aina gani.
Nimetongoza wasichana wawili toka nianze Ku..... na wote wamenikataaa kwa sababu wanazozijua wenyewe...
sasa inakuja hivi naumia sana mpaka hata nikimuona msichana mwenyewe natamani kubadilisha njia ili hali tusionane.
Naomba kuuliza kwa wenye uzoefu na mambo haya! hii hali inanitokea mimi tu.... au hata na wengine? Na kama ni hali ya kawaida wewe ulitumia njia gani kuishinda hali hii?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta basha akuanzishe somo utashinda na utawapata wanawake saaaaaana tena saaaana,basha akufungue kwanza ili nawe uwafungue wanawake.
 
Back
Top Bottom