Ni miujiza? Mbona viongozi hawazimii?

Ni miujiza? Mbona viongozi hawazimii?

Kwenye kuuaga mwili wa hayati JPM,tunaona wananchi wa kawaida tu ndio wanazimia,kudondoka na baadhi hata kufa...
Kwa wale sidhani kama utajibiwa kwani kila mmoja analia kimachozi na kimoyomoyo
 
Umeuliza swali zuri sana mkuu 'pilipili-mbuzi'

Hao viongozi ndio hasa waliotakiwa kuzimia na kufa kabisa kwa sababu ndio wanufaika wakubwa.

Mtu kama yule aliyeokotwa Jalalani, na mwingine tena alisema kaokotwa wapi..., watu wa ajabu sana. Hawa ndio waliopaswa kufa kabisa!

Basi mkuu wangu, ujue kuna uigizaji mwingi sana, hata wa kufikia kufa kabisa. Ndiyo, mtu anaigiza, hadi anajikuta kapitiliza na kwenda kimoja.

Kadri ya kuwa na wajinga wengi nchini, ndiyo kadri ya waigizaji wa namna hiyo kuwa wengi.

Wewe kamwambie mtu mwenye uelewa mzuri, akaigize kuzimia kama hatakucheka kama sio kukuzaba vibao!

Huo mstari wako wa mwisho nilitaka kukuunga mkono kwenye maneno uliyoandika mwa sentensi hiyo. Mwanzo wa mstari huo, siyo kweli hata kidogo.
Mnyonge unampenda mtu aliyeshiba, sana sana anachokwambia ni maneno matupu!. Utashiba maneno?
 
Hao waliozimia, kulia Sana na kuanguka ukienda kuwauliza wakiwa wametulia hawatakua na majibu ya kueleweka
 
wanaokubali kuwa wanyonge ndio wanapigwa kila sehemu
 
Kha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwenye kuuaga mwili wa hayati Hayati Magufuli tunaona wananchi wa kawaida tu ndio wanazimia, kudondoka na baadhi hata kufa.

Mbona sasa hatuoni haya yakiwapata viongozi, hasa waliokuwa karibu zaidi na hayati?

Au ni kweli kuwa wananchi wanyonge tu ndio walimpenda, wengine walipenda matumbo yao?
 
Back
Top Bottom