Ni miujiza? Mbona viongozi hawazimii?

Ni miujiza? Mbona viongozi hawazimii?

Ni sawa na kusema kwanini matajiri huwa hawapandishi mapepo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
mpaka sasa hakuna hata mmoja aliyeshikwa na majonzi presha ikapanda akafa pamoja na Shujaa
 
Kwenye kuuaga mwili wa hayati Hayati Magufuli tunaona wananchi wa kawaida tu ndio wanazimia, kudondoka na baadhi hata kufa.

Mbona sasa hatuoni haya yakiwapata viongozi, hasa waliokuwa karibu zaidi na hayati?

Au ni kweli kuwa wananchi wanyonge tu ndio walimpenda, wengine walipenda matumbo yao?
Viongozi wengi wamefurahia kilichotokea
 
Ulishaona mpiga kinanda antoa sadaka kanisani?, Muongoza mapambio kipindi cha maombi anaanguka kwa upako wa Gwajima??
 
Back
Top Bottom