Ni miujiza? Mbona viongozi hawazimii?

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867]
 
Siku wajinga wakiisha, sijui wajanja wataishije!
 
Tafuta pesa hutazimia popote jaribu ata kufikiria makanisani wakiombewa wanao anguka ni maskini tu🚶🚶
 
Ushawahi kuona tajiri anatolewa mapepo?
 
Hao ni ma director sio ma actor
 
Yesu pamoja na mateso yote aliyopata hakuna aliyezimia tofauti na wanawake wa israel,
Sasa kafa binadamu unataka watu wazimie, ona watu wamekufa kwa kukanyagana kama majani.
Akili za mataga bana
 
Never underestimate the power of stupid people in large groups.

Wapumbavu wengi wakiwa pamoja wanaweza kufanya kitu cha ajabu.
 
Kusema sijui ni nusu ya ELIMU.
 
Wanafiki wale we ona saivi tu mapema washaanza kuvaa Barakoa wakati walikua kila siku wakiimba Corona kaishinda Jiwe.
 
Kama huyu mwingine huku kwani hana handkerchief au tissue ya kujifuta machozi ???

Sanaa bana kwahiyo hapa ndio tuone anauchungu sana ???

 
Daaa!! We jamaaa??? Wanawaza ili wakale timing ya pesa za miradi kabla rais mpya hajayajua hayo ya miradi.kufa kufaaana. Kuna mawaziri wenye akili sana humo usiwaone hivo!!!hasa wanaojifanya kumpenda km spika anakula ndefu!

wkt nyie mnalia miamala inahamishwa kule na huko mnoko kaondoka. Wameshafanikiwa.

Kitu ambacho jiwe hakujua ni uleee msamiati " wa kikulacho...... Yeye alikuwa tumbua tuuuuu!!!
 
Inategemea na maisha uliyoishi na wenza wako kwa madaraja yao
 
Hivi ni kitu gani kilichofanya watu wakimbilie jeneza? Katika hali ya kawaida si huwa kuna utaratibu wa watu kujipanga na kuingia kwa ustaarabu? Ni nini kiliwafanya watanzania wenzetu wale kuwa kama wanyama?
Misiba mingi ya viongozi imetokea katika nchi hii, hatujaona watu waki-act kama walivyo-act kwenye msiba huu! Kwa nini iwe hivi?
 
Kama huyu mwingine huku kwani hana handkerchief au tissue ya kujifuta machozi ???

Sanaa bana kwahiyo hapa ndio tuone anauchungu sana ???

View attachment 1732242View attachment 1732243
Mkuu huyo analia atakosamgawo kizembe!! wasaidizi wake kule wanakomba hazina ya wizara husika bila kunawa yeye yuko kwa msiba.

Waziri/makatibu/wakuu wa miradi wasipotajirika safari hii.anafaa kupigwa risasi na familia.tena hadharani bin waziwazi usimfiche. Una haki ya kumuua.jinga kabisaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…