[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni sawa na kusema kwanini matajiri huwa hawapandishi mapepo
Viongozi wengi wamefurahia kilichotokeaKwenye kuuaga mwili wa hayati Hayati Magufuli tunaona wananchi wa kawaida tu ndio wanazimia, kudondoka na baadhi hata kufa.
Mbona sasa hatuoni haya yakiwapata viongozi, hasa waliokuwa karibu zaidi na hayati?
Au ni kweli kuwa wananchi wanyonge tu ndio walimpenda, wengine walipenda matumbo yao?
Hakuna kitu kama hicho, "nusu ya elimu."Kusema sijui ni nusu ya ELIMU.
Poa.Hakuna kitu kama hicho, "nusu ya elimu."
Nani amezimia? Ndungai au Tulia?Hujaona Bungeni walivyokuwa wakianguka na kuzimia wakati wa kuaga?