Kwenye miji mikubwa maji ya uhakika huwa ni kuwa na bwawa (reservoir). Sasa kwa hapa Tanzania, ukiachana labda na Moro, ni mji gani mkubwa wenye reservoir kubwa ya maji? Je, Dodoma wana bwawa kwaajili ya matumizi yao ya maji?
Kwenye miji mikubwa maji ya uhakika huwa ni kuwa na bwawa(reservoir). Sasa kwa hapa Tanzania, ukiachana labda na Moro, ni mji gani mkubwa wenye reservoir kubwa ya maji? Je Dodoma wana bwawa kwaajili ya matumizi yao ya maji?