Ni mkakati wa kumuangusha Rais Samia kisiasa?

Duh...!, ile jf ya zamani enzi za IPTL, Escrow, Meremeta, deep green na tan gold.
P
 
Hii ndoto! au ngano?
 
Tulieni mtajua siku mkipata elimu ya katiba kumbe Sisi watanzania wengi hatuna uelewa wa katiba tumeambiwa ivo.
 
Uko sahihi kwenye maelezo yako, lakini unayosema hapa yalifanyika sana kipindi Cha dhalimu na ulikaa kimya. Huna uhalali wa kumkosoa huyu, mama, acha waseme wengine sio ww.
Bado unateseka na mimba ya Magufuli tu?

Mimi sizuiwi kusema na mtu yeyote yule!
Ninachoongelea sio nguo ya ndani ya mama yenu bali naongelea ufisadi unaohusu pesa za Umma.

Wewe kaa na msongo wako wa Magufuli na uendelee kuteseka nao.
Wenhine tutaendelea kupiga kila mshono usio halali.
 
😱
 
Hizi ndio habari tunataka kusikia.
 
Tulia WW huna maadili yoyote unayosimamia, bali huyu bi tozo kakutoa kwenye ulaji ndio unajiliza. Kama miradi yako ilikuwa haijakamilika baada ya dhalimu kuelekea motoni, uzia wanaopata migao Sasa ili waendeleze ulipoishia.
 
Sasa kama lenyewe ni li zero brain watu wafanyeje sasa! Lianguke tu!
 
CHADEMA kama wanataka ushindi asubuhi tu; watuwekee J. J. Mnyika awe mgombea wa Urais 2025 naamini vijana wote wa nchi hii watampigia kura hata kama CCM watakaweka kale kafisadi!
 
Ndo maana hiyo benki ni muhimu sana kwao.

Kama watu hukutana misikitini na baadae kwenye vikao vizito, wategemea fedha za umma kupona kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…