Ni Mkatoliki 100% ila hizi ni sababu zangu za kwanini Sihudhurii na Sitohudhuria Jumuiya za kila Jumamosi....

Kim jong liu on a serious note Mimi si Mnywaji wa Pombe ( siyo Mlevi ) ila Mbunye ( K ) ndiyo Kilevi changu Kikuu na hapa hunitoi hata Mhusika awe mbali vipi ikiwezekana kwa Miguu ( Ngoti ) nitaenda tu.
 
Kama michango yt hyo ukiamua kutoa ten ten n 80 elfu na bado hapo kuna sadaka ya kawaidaa hvyo inakubidi uandae laki kila jpili yakupeleka kanisani ilii ubarikiwee zaidi mtumishi wa mungu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
hahaha kunamzee jumamosi iliopita mida ya saa1 nilimfuata kanisani kwao walikua nakikao kilicho nishangaza niliwakuta kanisani wamelewa chakari hatahawa jitambui makret yabia kubao kanisani wanachezea sadaka zawaumini wao
 
Kweli bro; Ni kheri sana kwa Mwamposa unajimaliza mara moja(Once and for all) halafu unarudi nyumbani saa 8 au 9 za usiku kwa miguu. πŸ˜† πŸ˜† πŸƒβ€β™‚οΈ
 
Daah hujakosea mwamba. Hapo ongezea mchango wa pili. Unakuwaga mida ya mwishomwisho misa inapoishiaishia. Zamani ulikuwepo mara mojamoja sana kwene matukio maalum mfano kuchangia wasiojiweza n.k lakini saivi umekuwa ni standard. Piga ua lazma mchangie. hlf kuna kitu kinaitwa matendo ya huruma. hiyo uwa ni nje ya hii michango yote iliyotajwa hapo.
 
mnafikiq mkubwa ww
 
Haya uliyoyasema ni changamoto kwenye jumuiya nyingi, lakini kuyasema huku hayawafikii walengwa. Hivyo basi nakushauri ujitahidi uende jumamosi ijayo, kikifika kipengere cha kutafakari NENO mwaga hizi hoja hapo hapo kwenye jumuiya.
tatizo alie andika hana tofaoti na wavaa madera
 
Fa
Fact
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…