Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Inategemea na sehemu uliyopo.Inafanyika saa ngapi hadi saa ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inategemea na sehemu uliyopo.Inafanyika saa ngapi hadi saa ngapi?
Hapo hakuna jipya, makanisa ni vitega uchumi vya watu. Kila kianzichwacho kimelenga kuwatoa waumini pesa. Huku kwetu mbali ya jumuia kuna kusali kigango. Michango ni mingi sana. Parokia hata wafanya usafi ni waumini, pesa kuajiri watumishi zinaliwa.ndio Mimi ni KKKT na kila jumamosi lazima wazunguke kufanya ibada na nimezungumzia mazingira yaliopo hata kwa wakatoliki bado jumuiya ni kwaajili ya kukusanya zaka hamna jipya.
kanisa lako lote la katoliki ni majungu, limekufa na ni meli inayowakokote nyote kuelekea moto wa milele ndugu. hama kabisa huko. usije kusema hatukukuambia siku ile utakapochaguliwa kuwa kwenye kundi la mbuzi badala ya kondoo mbele ya kiti kile cha hukumu.1. Jumuiya kumekuwa ni sehemu za Majungu.
2. Jumuiya imekuwa ni sehemu za Kuchunguzana Kimaisha.
3. Jumuiya imekuwa ni sehemu ya Masutano.
4. Jumuiya imekuwa ni sehemu ya Wanaume Kutongoza na Wanawake kutafuta wa Kuwachapa Nao ( Kuwabandua )
5. Jumuiya imekuwa ni sehemu ya Kutishana kuwa kama hauhudhurii basi Ukifa ( Ukifariki ) Kanisa Katoliki halitokuombea ukiwa Jenezani Kwako.
6. Jumuiya imekuwa ni sehemu ya kila Siku kuja na Michango isiyo na Kichwa wala Miguu.
7. Jumuiya imekuwa ni Gulio Kuu la kila aina ya Unafiki unaoujua na usioujua hapa duniani.
Halafu Wewe Mwenyekiti, Katibu na Mweka Hazina wa Jumuiya yangu hivi mnavyonitishia kuwa kama nisipohudhuria Jumuiya Nikifa hamtoniombea mmeshazungumza na Baba Mungu na akawaambieni kuwa ataanza Kunitanguliza Mimi Kaburini kabla yenu? Wapuuzi wakubwa nyie.
Je, mnavyong'ang'ania Kutoniombea GENTAMYCINE pale Nikifa je, ile Siku ninazaliwa mlikuja Agha Khan Hospital mbele ya Sister Brendah na Sister Aghata waliohakikisha Nazaliwa vyema na salama Kuniombea? Wapuuzi wakubwa nyie.
Na nani aliyewadanganyeni kuwa Imani ya Ukatoliki inapimwa kwa Kuja Kwake ( Kuhudhuria ) katika Jumuiya za Kikatoliki kila Jumamosi kama ya hii leo?
Nilichoamua tu na najua hata Mwenyezi Mungu ananibariki nacho ni kwamba nitajitahidi Kuhudhuria Ibada zote za kila Jumapili ( hasa Misa yangu pendwa ya Kwanza ) na kutoa Sadaka na Michango ya Kikanisa kama tu nitakuwa Nimebarikiwa na Uchumi kwa wakati huo na kama sina najua hata Mola / Maulana nae atajua na hatonichukia au kuwa na Usununu ( Kinyongo ) nami.
Nawatakieni nyote Jumuiya njema!!!!
Jumuia ni mfumo wa kukusanya pesa za waumini kabla ya kuifikia jumapili ili kuongeza pato la kanisa na ilibuniwa kwa ajili hiyo.Dini ni kivuli cha kutawaliwa hao viongozi wenu wapo chini ya utawala!
Baadhi yenu kufunguka itawachukua muda sana haswa hivi vichwa vyetu vya kiafrika mtaliwa mno..
Kabsa bora hizo jumuiya wangezitumia kama MICROFINANCEMalalamiko haya yanafumbiwa macho kila kukicha. Kwa nini hakuna suluhisho mpaka hivi sasa?
Mimi ni mu-RC ila kiukweli hizi jumuiya hazijafit objectives ya kuanzishwa kwake.
Nina imani viongozi wetu ni wasomi mtalifanyia kazi hili jambo. MALALAMIKO NI MENGI
Hao wa jumuia ni, wanafiki, wabaguzi, wafitini, wana majungu, wanachunguzana maisha, wana husuda, wakatili kupindukia!1. Jumuiya kumekuwa ni sehemu za Majungu.