Ni Mkatoliki 100% ila hizi ni sababu zangu za kwanini Sihudhurii na Sitohudhuria Jumuiya za kila Jumamosi....

Ni Mkatoliki 100% ila hizi ni sababu zangu za kwanini Sihudhurii na Sitohudhuria Jumuiya za kila Jumamosi....

yaani Genta na ujanja wako wote unaogopa ukifa utakosa wa kukuzika. Bro ukifa umekufa,,,,kifo ni kifo period!!!!

Mtu Ufe uzikwe na dhahabu au uzikwe na sanda huna jipya hapa duniani kitendo cha kufukia mwili ni kuwakinga wengine wasipate madhara na kero za harufu itokanayo na mzoga wa mwili wa kiumbe kisicho na uhai.

Yaani mm mtu akija na tambo ukifa hatutakuzika nawaambia shwaini nyie kubafu zenu piteni hv bladifool😂😂😂😂

Watu wanashindwa kuelewa kuwa hizi dini bila vitisho zinakosa uhalali wa kuexist hivyo silaha kubwa ya dini zote ni kubring terror( vitisho) na kulimit kuhoji!!!!

Sasa mtu mwenye akili timamu hawezi kukubali kuburutwa na some incompetent bodies lazima aonekane mjuaji na msumbufu. So wanaanza kukutengenezea mazingira ya vitisho😂😂😂😂

Wakigoma kukuzika;

1. Nenda hospitali kubwa yoyote waambie mm nataka kusign nikifa mwili wangu utumike na wanafunzi kujifunzia.

2. Option nyingine ukiona watu wanadengua kufanya mazidhi peleka mwili msikitini huko hamna mbwembwe utawahishwa mapema ukapumzike na wala hawabagui,,,

3.Option ya mwisho nenda almashauri wanatawazikia maiti yenu chap,,,,

4.Zimegoma zote wacheni mwili ukioza tuharufu itawafanya akili ziwarudi na wazitumie ipasavyo.....

Yaani mtu ambaye hana guarantee ya kuishi milele anapata wapi kibali cha kupangia wengine kuwa hawatawazika,,,,kuna pimbi hapa duniani washaanza kujisahau na kujiona wanauspesho flani hivi kumbe wote sisi ni maiti watarajiwa.

#kifo ni kifo!!!!
 
ndio Mimi ni KKKT na kila jumamosi lazima wazunguke kufanya ibada na nimezungumzia mazingira yaliopo hata kwa wakatoliki bado jumuiya ni kwaajili ya kukusanya zaka hamna jipya.
Hapo hakuna jipya, makanisa ni vitega uchumi vya watu. Kila kianzichwacho kimelenga kuwatoa waumini pesa. Huku kwetu mbali ya jumuia kuna kusali kigango. Michango ni mingi sana. Parokia hata wafanya usafi ni waumini, pesa kuajiri watumishi zinaliwa.
 
1. Jumuiya kumekuwa ni sehemu za Majungu.

2. Jumuiya imekuwa ni sehemu za Kuchunguzana Kimaisha.

3. Jumuiya imekuwa ni sehemu ya Masutano.

4. Jumuiya imekuwa ni sehemu ya Wanaume Kutongoza na Wanawake kutafuta wa Kuwachapa Nao ( Kuwabandua )

5. Jumuiya imekuwa ni sehemu ya Kutishana kuwa kama hauhudhurii basi Ukifa ( Ukifariki ) Kanisa Katoliki halitokuombea ukiwa Jenezani Kwako.

6. Jumuiya imekuwa ni sehemu ya kila Siku kuja na Michango isiyo na Kichwa wala Miguu.

7. Jumuiya imekuwa ni Gulio Kuu la kila aina ya Unafiki unaoujua na usioujua hapa duniani.

Halafu Wewe Mwenyekiti, Katibu na Mweka Hazina wa Jumuiya yangu hivi mnavyonitishia kuwa kama nisipohudhuria Jumuiya Nikifa hamtoniombea mmeshazungumza na Baba Mungu na akawaambieni kuwa ataanza Kunitanguliza Mimi Kaburini kabla yenu? Wapuuzi wakubwa nyie.

Je, mnavyong'ang'ania Kutoniombea GENTAMYCINE pale Nikifa je, ile Siku ninazaliwa mlikuja Agha Khan Hospital mbele ya Sister Brendah na Sister Aghata waliohakikisha Nazaliwa vyema na salama Kuniombea? Wapuuzi wakubwa nyie.

Na nani aliyewadanganyeni kuwa Imani ya Ukatoliki inapimwa kwa Kuja Kwake ( Kuhudhuria ) katika Jumuiya za Kikatoliki kila Jumamosi kama ya hii leo?

Nilichoamua tu na najua hata Mwenyezi Mungu ananibariki nacho ni kwamba nitajitahidi Kuhudhuria Ibada zote za kila Jumapili ( hasa Misa yangu pendwa ya Kwanza ) na kutoa Sadaka na Michango ya Kikanisa kama tu nitakuwa Nimebarikiwa na Uchumi kwa wakati huo na kama sina najua hata Mola / Maulana nae atajua na hatonichukia au kuwa na Usununu ( Kinyongo ) nami.

Nawatakieni nyote Jumuiya njema!!!!
kanisa lako lote la katoliki ni majungu, limekufa na ni meli inayowakokote nyote kuelekea moto wa milele ndugu. hama kabisa huko. usije kusema hatukukuambia siku ile utakapochaguliwa kuwa kwenye kundi la mbuzi badala ya kondoo mbele ya kiti kile cha hukumu.
 
Dini ni kivuli cha kutawaliwa hao viongozi wenu wapo chini ya utawala!

Baadhi yenu kufunguka itawachukua muda sana haswa hivi vichwa vyetu vya kiafrika mtaliwa mno..
Jumuia ni mfumo wa kukusanya pesa za waumini kabla ya kuifikia jumapili ili kuongeza pato la kanisa na ilibuniwa kwa ajili hiyo.
 
Malalamiko haya yanafumbiwa macho kila kukicha. Kwa nini hakuna suluhisho mpaka hivi sasa?

Mimi ni mu-RC ila kiukweli hizi jumuiya hazijafit objectives ya kuanzishwa kwake.

Nina imani viongozi wetu ni wasomi mtalifanyia kazi hili jambo. MALALAMIKO NI MENGI
Kabsa bora hizo jumuiya wangezitumia kama MICROFINANCE
 
1. Jumuiya kumekuwa ni sehemu za Majungu.

2. Jumuiya imekuwa ni sehemu za Kuchunguzana Kimaisha.

3. Jumuiya imekuwa ni sehemu ya Masutano.

4. Jumuiya imekuwa ni sehemu ya Wanaume Kutongoza na Wanawake kutafuta wa Kuwachapa Nao ( Kuwabandua )

5. Jumuiya imekuwa ni sehemu ya Kutishana kuwa kama hauhudhurii basi Ukifa ( Ukifariki ) Kanisa Katoliki halitokuombea ukiwa Jenezani Kwako.

6. Jumuiya imekuwa ni sehemu ya kila Siku kuja na Michango isiyo na Kichwa wala Miguu.

7. Jumuiya imekuwa ni Gulio Kuu la kila aina ya Unafiki unaoujua na usioujua hapa duniani.

Halafu Wewe Mwenyekiti, Katibu na Mweka Hazina wa Jumuiya yangu hivi mnavyonitishia kuwa kama nisipohudhuria Jumuiya Nikifa hamtoniombea mmeshazungumza na Baba Mungu na akawaambieni kuwa ataanza Kunitanguliza Mimi Kaburini kabla yenu? Wapuuzi wakubwa nyie.

Je, mnavyong'ang'ania Kutoniombea GENTAMYCINE pale Nikifa je, ile Siku ninazaliwa mlikuja Agha Khan Hospital mbele ya Sister Brendah na Sister Aghata waliohakikisha Nazaliwa vyema na salama Kuniombea? Wapuuzi wakubwa nyie.

Na nani aliyewadanganyeni kuwa Imani ya Ukatoliki inapimwa kwa Kuja Kwake ( Kuhudhuria ) katika Jumuiya za Kikatoliki kila Jumamosi kama ya hii leo?

Nilichoamua tu na najua hata Mwenyezi Mungu ananibariki nacho ni kwamba nitajitahidi Kuhudhuria Ibada zote za kila Jumapili ( hasa Misa yangu pendwa ya Kwanza ) na kutoa Sadaka na Michango ya Kikanisa kama tu nitakuwa Nimebarikiwa na Uchumi kwa wakati huo na kama sina najua hata Mola / Maulana nae atajua na hatonichukia au kuwa na Usununu ( Kinyongo ) nami.

Nawatakieni nyote Jumuiya njema!!!!
Hao wa jumuia ni, wanafiki, wabaguzi, wafitini, wana majungu, wanachunguzana maisha, wana husuda, wakatili kupindukia!
Sitaki hata kuwasikia na masharti yao ya kibinadamu!
 
Back
Top Bottom