Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndio Mimi ni KKKT na kila jumamosi lazima wazunguke kufanya ibada na nimezungumzia mazingira yaliopo hata kwa wakatoliki bado jumuiya ni kwaajili ya kukusanya zaka hamna jipya.Bahati nzuri Kanisa Katoliki lina Mapadre tu. Hao Wachungaji wanapatikana KKKT, Anglikana, nk.
Baada ya kujua ( kugundua ) hilo leo What next?siku zote nilikuwa najua Genta ni mnyarwanda aliyekulia ama kusoma tz na sasa yupo kwao Rwanda
Baada ya kujua ( kugundua ) hilo leo What next?
Huwa naenda sana Kigali, Siku moja nilitaka tukutane Birambo street tupate akabenzi
Kim jong liu on a serious note Mimi si Mnywaji wa Pombe ( siyo Mlevi ) ila Mbunye ( K ) ndiyo Kilevi changu Kikuu na hapa hunitoi hata Mhusika awe mbali vipi ikiwezekana kwa Miguu ( Ngoti ) nitaenda tu.
Kumbe Genta mzee wa kunyaza
Kama michango yt hyo ukiamua kutoa ten ten n 80 elfu na bado hapo kuna sadaka ya kawaidaa hvyo inakubidi uandae laki kila jpili yakupeleka kanisani ilii ubarikiwee zaidi mtumishi wa mungu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Michango imekuwa mingi sana Kanisa Katoliki..
Mbaya zaidi ukikaa karibu na hao makuhani unaweza acha kutoa kabisa..
Kuna sadaka ya kawaida ya jumuiya
Kuna tegemeza jimbo
Kuna tegemeza parokia
Kuna mavuno
Kuna zaka
Kuna mchango wa ujenzi
Kuna mchango wa UWAKA/ WAWATA
kuna mchango wa gari la paroko
Michango ni bandika bandua
Watana mamaya[emoji23][emoji23]ukiwa na hela hata kama una wake wawil utakuja kuzikwa na askofu, rejea mzee wa ngurdoto/impala/naura hotels
Kweli bro; Ni kheri sana kwa Mwamposa unajimaliza mara moja(Once and for all) halafu unarudi nyumbani saa 8 au 9 za usiku kwa miguu. 😆 😆 🏃♂️Michango imekuwa mingi sana Kanisa Katoliki..
Mbaya zaidi ukikaa karibu na hao makuhani unaweza acha kutoa kabisa..
Kuna sadaka ya kawaida ya jumuiya
Kuna tegemeza jimbo
Kuna tegemeza parokia
Kuna mavuno
Kuna zaka
Kuna mchango wa ujenzi
Kuna mchango wa UWAKA/ WAWATA
kuna mchango wa gari la paroko
Michango ni bandika bandua
Daah hujakosea mwamba. Hapo ongezea mchango wa pili. Unakuwaga mida ya mwishomwisho misa inapoishiaishia. Zamani ulikuwepo mara mojamoja sana kwene matukio maalum mfano kuchangia wasiojiweza n.k lakini saivi umekuwa ni standard. Piga ua lazma mchangie. hlf kuna kitu kinaitwa matendo ya huruma. hiyo uwa ni nje ya hii michango yote iliyotajwa hapo.Michango imekuwa mingi sana Kanisa Katoliki..
Mbaya zaidi ukikaa karibu na hao makuhani unaweza acha kutoa kabisa..
Kuna sadaka ya kawaida ya jumuiya
Kuna tegemeza jimbo
Kuna tegemeza parokia
Kuna mavuno
Kuna zaka
Kuna mchango wa ujenzi
Kuna mchango wa UWAKA/ WAWATA
kuna mchango wa gari la paroko
Michango ni bandika bandua
mnafikiq mkubwa ww1. Jumuiya kumekuwa ni sehemu za Majungu.
2. Jumuiya imekuwa ni sehemu za Kuchunguzana Kimaisha.
3. Jumuiya imekuwa ni sehemu ya Masutano.
4. Jumuiya imekuwa ni sehemu ya Wanaume Kutongoza na Wanawake kutafuta wa Kuwachapa Nao ( Kuwabandua )
5. Jumuiya imekuwa ni sehemu ya Kutishana kuwa kama hauhudhurii basi Ukifa ( Ukifariki ) Kanisa Katoliki halitokuombea ukiwa Jenezani Kwako.
6. Jumuiya imekuwa ni sehemu ya kila Siku kuja na Michango isiyo na Kichwa wala Miguu.
7. Jumuiya imekuwa ni Gulio Kuu la kila aina ya Unafiki unaoujua na usioujua hapa duniani.
Halafu Wewe Mwenyekiti, Katibu na Mweka Hazina wa Jumuiya yangu hivi mnavyonitishia kuwa kama nisipohudhuria Jumuiya Nikifa hamtoniombea mmeshazungumza na Baba Mungu na akawaambieni kuwa ataanza Kunitanguliza Mimi Kaburini kabla yenu? Wapuuzi wakubwa nyie.
Je, mnavyong'ang'ania Kutoniombea GENTAMYCINE pale Nikifa je, ile Siku ninazaliwa mlikuja Agha Khan Hospital mbele ya Sister Brendah na Sister Aghata waliohakikisha Nazaliwa vyema na salama Kuniombea? Wapuuzi wakubwa nyie.
Na nani aliyewadanganyeni kuwa Imani ya Ukatoliki inapimwa kwa Kuja Kwake ( Kuhudhuria ) katika Jumuiya za Kikatoliki kila Jumamosi kama ya hii leo?
Nilichoamua tu na najua hata Mwenyezi Mungu ananibariki nacho ni kwamba nitajitahidi Kuhudhuria Ibada zote za kila Jumapili ( hasa Misa yangu pendwa ya Kwanza ) na kutoa Sadaka na Michango ya Kikanisa kama tu nitakuwa Nimebarikiwa na Uchumi kwa wakati huo na kama sina najua hata Mola / Maulana nae atajua na hatonichukia au kuwa na Usununu ( Kinyongo ) nami.
Nawatakieni nyote Jumuiya njema!!!!
wewe segeraa unakujua au umeamua kufurahisha baraza?Dini ni kifungo kibaya sana kuliko hata gereza.
tatizo alie andika hana tofaoti na wavaa maderaHaya uliyoyasema ni changamoto kwenye jumuiya nyingi, lakini kuyasema huku hayawafikii walengwa. Hivyo basi nakushauri ujitahidi uende jumamosi ijayo, kikifika kipengere cha kutafakari NENO mwaga hizi hoja hapo hapo kwenye jumuiya.
Inafanyika saa ngapi hadi saa ngapi?Kwangu mimi jumuiya ndo mpango mzima, never miss. Ukikua utajua.
Fact1. Jumuiya kumekuwa ni sehemu za Majungu.