Ni mke wa mtu, ni mzuri, ANANITAKA nifanyeje?

Muambie akupe muda umfikirie.

Si ndio kila siku atakuwa anaulizia jibu akiambiwa hapana kwake inakuwa sio jibu anasubiri tena kesho yake, miaka yetu wakati bado tunaomba unyumba kupitia barua tulikuwa tukimalizia kwa kuandika 'nategemea jibu zuri'
 
engekua mchumba wa mtu ningekushauri mfikirie ila ni MKE wa m2 duh kimbia kuliko chita bro!.
 
Ah kama noma naiwe noma mwambie unatamani lakini kujaribu huwezi..
 
Hajawai kutoka nje alafu huyo mtoto wa pili kamla kwenye soseji? Si amesema mmewe awezi tena..
Bora denti kuliko mke wa mtu..utakufa..
 
mkali acha kabisa mke wa mtu,kuna jamaa huku mbeya alikatwa kichwa baada ya kufumwa live na mwenye mke,huyo aliofanya mauaji yupo kitaa mpaka leo na mke wake mana mahakama ilimwachia huru kwani ilionekana ni hasira
 
thanx guys for your comments....... its not that i don't have a stand, or i can not make a decision. if i wanted to hit her i would have done it long time ago.... i said no and it will never be infront of her face several times, i tried not picking her fone call, not answering emails, but i failed to throw her away from my house because don't come to my house it didn't work either... i even tried to say i will tell her husband, and she said she will be very glad, b'se it might be the cause of her marriage to break... i cant buy a ***** and put her to my house just to scare her..... she keeps pushing hoping that one day i might say yes..... that's why am stuck.....
 
Mtoa mada,kulikoni story nzito kama hii ukaishusha usiku wa manane? Au ulikuwa naye pembeni?
Mshawahi kufanya romance bila ku go all the way?
Ningekuwa wewe kusema ukweli ningempa dozi kisha niingie mitini,utaache mdondo bana?
 
Ngomz unanikera wewe,dume gani weye,kwani kumlamba utamlambia viwanja vya mnazi mmoja kila mtu aone? We vipi?
 
mkali acha kabisa mke wa mtu,kuna jamaa huku mbeya alikatwa kichwa baada ya kufumwa live na mwenye mke,huyo aliofanya mauaji yupo kitaa mpaka leo na mke wake mana mahakama ilimwachia huru kwani ilionekana ni hasira

Acheni kumtisha,wake za watu wanatafunwa uzuri tu.
 

Na hili linahitaji ushauri toka JF? Wewe umeishakamatwa na huyo mama!
 
Mke wa mtu sumu,na mapenzi ya kuiba mwisho wake ni kufumwa na kuaibishwa!!jamaa ana haki zote za kukugeuza bucha au kukudhalilisha atakavyo akikushika nae live!tafakari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…