Ni mke wa mtu, ni mzuri, ANANITAKA nifanyeje?

Nakushauri my brother tafuta mwanamke wa kuoa na ndiyo itakuwa mwisho wa huyu mwanamke. Wanawake hawakati tamaa tena anapokuona single anaweza kutumia njia yoyote ile akupate. Jua kwamba huyo mwanamke ni moto wa kuotea mbali. Kwa ufupi unacheza na moto. Pia nakushauri siku nyingine mwanamke aliyeolewa mpe msaada tu pale ambapo ni lazima kwa sababu once unapotoa msaada anaona unampenda na unamtaka.
 
yaani kaka achana naye na uwe mbali naye kabisa naona anapepo la ngono
 
Kweli wanasemaga hakuna urafiki kati ya mwanaume na mwanamke maana ipo siku kutakua na hisia watu watabanjuana. Mi siwezi kua na mke eti akaniambia mwanaume flani ni rafiki yake. Naahh i aint buyin dat
 
Hakuna kitu cha hatari kama kutembea na mke wa mtu, its very bad and painful ndo maana mwenye mke akikufuma anakata shingo na polisi hakuna kesi . Look verry.
 

Ungekuwa unaishi ule mji wa wameru AR usingekuwa na fursa ya kushuhudia UDHAIFU hapa JF...mshukuru sana Mungu kuna voice ndani yako inayokuambia lipi ni sahihi
 
Katika hali isiyokawaida rafiki wa karibu wa mke wangu ametokea kunitamani kiasi cha kumweleza mke wangu kuwa kama si yeye angeniomba kuwa na love affairs na mimi. Mwanzoni nilidhani kama utani lakini imeendelea hivyo kwa miezi kadhaa na mbaya zaidi anaonyesha hisia zake kupitia kwa wife kama utani hivi amefikia kumuulizia habari zangu kila wakati akiniita honey. Cha ajabu akiniona anakuwa na aibu na hata kuongea anashindwa. Nataka kufahamu kutoka kwa akina dada wa JF hivi unaweza kumtamani mwanaume wa mwenzio wakati una wako na nini sababu.
 
mtu mwenye tamaa ndio huwa na tabia kama hiyo!! achana nae huyo we mjali na kumuheshmu mke wako!! sembuse anakutega huyo waone utarespond vipi!! na inawezekana kweli ikawa ni utani so usimjibu chochote may be hadi pal atakapokutamkia!! na kama hupendi huo utani bas jaribu kumuonesha mkeo kwamba huupendi huo utani!! au mtell if u can
 
Huna kichwa cha kufikiri? ina maana ukiulizwa 1+1 ni ngapi utakuja kuuliza humu jamvini? you're misusing the JF. Simple answer ni kusema NO la sivyo usubiri kuwindwa kama swala na mwenye mali.
 
Na wewe mtamani! Tit for tat is a fair game..
Kwani nyie mnavyotamani wake za watu na wakati nyumbani mna wake zenu hua inasababishwa na nini vile??:israel:
heee!! we purple huoni kama nae akimtamani atakuwa anamuonea mke wake coz atakuwa anamsaliti???
 
Na huyo mkeo anayeelezwa anasikiliza tu na kufikisha meseji mbona iko kazi duniani

from no where rafiki yangu ananiambia anamtamani my husband lol
Kazi kweli kweli.......
 
Na huyo mkeo anayeelezwa anasikiliza tu na kufikisha meseji mbona iko kazi duniani

from no where rafiki yangu ananiambia anamtamani my husband lol
Kazi kweli kweli.......
tatzo mke utani umemkolea wakat mwenzake anafanya kweli
 
Na huyo mkeo anayeelezwa anasikiliza tu na kufikisha meseji mbona iko kazi duniani

from no where rafiki yangu ananiambia anamtamani my husband lol
Kazi kweli kweli.......

Ajabu! Huyo mke naye anasikiliza na kumpelekea msg mumewe, tena huyo dada naye anao ujari kabisa wa kumwambia mke wa mtu ati anamtamani mumewe.
Uongo mwingine hata shetani anashangaa!
 
Na wewe mtamani! Tit for tat is a fair game..
Kwani nyie mnavyotamani wake za watu na wakati nyumbani mna wake zenu hua inasababishwa na nini vile??:israel:

Sentesi ya kwanza imenifanya washtukie niko JF kwa kicheko hadi machozi hapa kwa office...... The best comment ever read by me!
 
kwa ushauri acha mali za watu kiongozi, hasira zake ni mbaya sana unaweza usifaidi tena tendo hilo, maana ningekuwa mie nikikukamata nakuoa kwa wiki tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…