Ni mke wa mtu, ni mzuri, ANANITAKA nifanyeje?

Ji ulize hivi ukioa au kuolewa Je ndo mwisho wa kupenda wengine ?

To be more specific (kuwa attractive na mtu mwingine kimapenzi. )

Huyo mmama inaonyesha amekutamani wewe. Na si kosa Kuwa alivyo ..

Je wewe una respond vipi kwake? Na una mpa hint zipi,?..

The power is in your hand ...
All the best think wise.
 
Mwambie mkeo kama anakubali mpige threesome, otherwise mwambie asikuletee tena utani kama huo!

Hayo anayofanya mkeo ni sawa na kumchezea simba sharubu!
 

Sababu ni cash!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
heee!! we purple huoni kama nae akimtamani atakuwa anamuonea mke wake coz atakuwa anamsaliti???

my dear Princess na mie nimeamua kumuenjoy mtoa sredi kama yeye alivyoamua kutuenjoy! Ina maana na utu uzima wake kwenye issue kama hii hajui nini cha kufanya?sasa matatizo mengine makubwa ya kifamilia hua anasolve vipi?khaaa:bathbaby:
 
Last edited by a moderator:

Long time afrodenzi! Lol, Aachane na huyo mke wa mtu, huenda anategwa na mke wake.
 
Mi ningependa kwanza kumpongeza huyo dada kwa kumwambia mkeo, japo ni kama matani tu, so suala zima na mkeo analifahamu.
Pili mnatakiwa wote wanne (wewe na mkeo, yeye na mumewe) mukae chini na kulizungumza suala hili especially hiyo tabia ya huyo mdada kutamani wanaume nje ya ndoa yake, kama kuna tatizo ndani ya ndoa yao jaribuni kuwasaidia wamalize matatizo yao, japo suala la mgogoro ndani ya ndoa, tena mke na mume huwa wao wenyewe ndio wenye uwezo wa kutatua.
Mwisho kama njia zote hizi zimeshindikana basi mwambie mkeo avunje urafiki na huyo mdada ili kuvunja mawasiliano moja kwa moja.
 
Na wewe mtamani! Tit for tat is a fair game..
Kwani nyie mnavyotamani wake za watu na wakati nyumbani mna wake zenu hua inasababishwa na nini vile??:israel:

Purple mbona unanipa jibu la haraka hivyo jamani. Nimeuliza swali unanijibu kwa swali jamani .....lol
 

Nashukuru kwa ushauri mzuri ila hilo la kukaa pamoja wote naona halitawezekana kwani nikivaa viatu vya huyo mumewe naona kama ndoa yao itakuwa mashakani. Hilo la kuvunja urafiki nadhani laweza kuwa muafaka.
 


Achana na huyo
 

Kwa maelezo yako nimepata jibu kuwa inawezekana kabisa kuwa na mume au mke na ukamtamani mtu mwingine kimapenzi. Angekuwa si mrembo ningeyamaliza kitambo na wala nisingeleta mada hii. Tatizo ni kwamba anavutia kwa kiwango chake ingawa hanitoi kwa wife. Let me scratch the back of my head and try to see what is the best way to get out of it
 
Nashukuru kwa ushauri mzuri ila hilo la kukaa pamoja wote naona halitawezekana kwani nikivaa viatu vya huyo mumewe naona kama ndoa yao itakuwa mashakani. Hilo la kuvunja urafiki nadhani laweza kuwa muafaka.

  • Kama la kuvunja urafiki linawezekana ni bora ukalitekeleza hilo kabla mambo hayajaharibika kabisa.
 
Ana pepo wa ngono huyo achana nae. Sio ajabu haja olewa anajua vijana wanapenda wake za watu. Akizidi mpelekee moto (usisahau kinga) halafu mpotezee
 
kwa ushauri acha mali za watu kiongozi, hasira zake ni mbaya sana unaweza usifaidi tena tendo hilo, maana ningekuwa mie nikikukamata nakuoa kwa wiki tu!

Duh..... Unamaanisha ile naniliu....dah... Kuanzia leo nampiga stop wife kufriend naye.
 
Ana pepo wa ngono huyo achana nae. Sio ajabu haja olewa anajua vijana wanapenda wake za watu. Akizidi mpelekee moto (usisahau kinga) halafu mpotezee

Ameolewa na an mtoto. Naogopa kwani nasikia wanawake wa namna hii ni ving'ang'anizi kwani inawezekana aliolewa asipopenda
 
Asante mkuu sitegemei kutoka nae out, but noted.

Mpe kitu kama kataka mwenyewe coz sisi wanawake wa sasa uaminifu 0%. Saa nyingine unakuta mumewe mzee au wengine wana sukari hivyo jogoo hawiki sasa hamu apeleke wapi.

Na wewe ushakula mzigo hapa watafuta kuhalalisha tu.
 
Long time afrodenzi! Lol, Aachane na huyo mke wa mtu, huenda anategwa na mke wake.

Wa Ukenyenge nina uhakika kuwa si mtego wa Wife kwani hata ninapompigia simu wife kumjulia hali au kujua kama ameshalunch yeye humsikia kwenye background akilalamika kuwa anakupigia wewe tu mbona mimi hanipigii, inafikia kipindi hadi wife anampa simu ili niongee naye japo kidogo. Bado sijamdadisi wife anaichukuliaje hiyo hali.
 
Jambo la kwanza mpe taarifa hii mchumba wako, usimfiche kitu chochote mwambie kila kitu na jinsi unavyojisikia juu ya huyo mmama.
Pili acha kabisa tabia ya kumpa lift huyo mama, kama kuna njia mbadala pita hiyo njia ili umkwepe na ikiwezekana vunja kabisa mawasiliano ya simu nae hata akikupigia usipokee simu yake au mpe mpenzi wako aongee nae.
Tatu omba mungu mumewe hasije fahamu kama huwa unampa lift mkewe, pindi atakapo fahamu na uhamuzi atakaochukua juu yako, utabakia kuwa yeye na wewe tuu.
ANGALIZO: Wanaume wenye magari tuache kuwapa lift mabinti na wake za watu, wanatupa wakati mgumu sana.
 
Na huyo mkeo anayeelezwa anasikiliza tu na kufikisha meseji mbona iko kazi duniani

from no where rafiki yangu ananiambia anamtamani my husband lol
Kazi kweli kweli.......

Sijui walikoanzia ila nilivyoelezwa na wife ni kwamba alianza kwa kumwambia kwamba ananipenda kwa kuwa mimi ni mpole na mtaratibu. Akaendelea kunisifia hivyo hadi alipofikia kutamka maneno hayo. Ndo maana niauliza hii kitu inawezekana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…