Ni mke wa mtu, ni mzuri, ANANITAKA nifanyeje?


Inawezekana anatak favor to.
 
Ajabu! Huyo mke naye anasikiliza na kumpelekea msg mumewe, tena huyo dada naye anao ujari kabisa wa kumwambia mke wa mtu ati anamtamani mumewe.
Uongo mwingine hata shetani anashangaa!

Wimana this isnt a joke vinginevyo ningeipeleka kwenye jokes. Hii inanitokea kwa sasa na ndo maana nikauliza swali je inawezekana?
 
Ajabu! Huyo mke naye anasikiliza na kumpelekea msg mumewe, tena huyo dada naye anao ujari kabisa wa kumwambia mke wa mtu ati anamtamani mumewe.
Uongo mwingine hata shetani anashangaa!

Wimana this isnt a joke vinginevyo ningeipeleka kwenye jokes. Hii inanitokea kwa sasa na ndo maana nikauliza swali je inawezekana?
 
msala huo mkuu, ukimkatalia anaweza geuka adui yako namba moja, ilishawahi nitokea kwa maza flani jirai yangu, ndio nilikua nimehamia hilo eneo, she tried to be very close hasa mumewe akisafiri kibaya zaidi mumewe tunaheshimiana, ila nikawa nampotezea, kuona hivyo akaanza kunichafua mtaani, mara oo huyu kaka jambazi, mara ana ngoma mradi tu ajiridhishe nafsi yake, mpaka leo hatusalimiani wakati tulikua marafiki wakubwa
 
Wewe bwana weweeeeeeeeeeeee! hebu kuwa serious na mke wako asije akawa anajamaa lingine huko harafu wanakuzuga huku, kumbe ndiyo lao moja. Be careful brother, huyo mkeo hana kazi? kila wakati wako na huyo mke wa mtu? Cha msingi na ukae ukijua kumwendekeza huyo mke wa mtu atakubomolea familia yako. We kuwa serious na mke wako, pengine muweke busy mkeo. Mfano! Ukifika tu jioni chomoka naye, ukimpoteza kama mwezi ataacha. Wakati mwingine wanapeana michapo ya ajabu ajabu hadi mke wa mtu anasisimka. Lol just thinking anyway!
 

I know most people can resist anything but temptation and particulary where a beautiful woman is concerned, BUT brother brother ni mambo makuu mawili tu yanayoweza kukuharibia maisha hapa duniani na au ukauwawa au kudhuriwa kwa namna moja au nyingine; 1: KURUSHA PESA YA MTU NA 2: KUTEMBEA NA MKE WA MTU, period; now that you know huyo ni mke wa mtu; trust your hunch (waswahili huita machale!!) kaa nae mbali sana aweza kuwa the biblical Delilah huyo on an unholly mission; you have been warned!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Na wewe mtamani! Tit for tat is a fair game..
Kwani nyie mnavyotamani wake za watu na wakati nyumbani mna wake zenu hua inasababishwa na nini vile??:israel:

Purple ndo ushauri gani sasa huo yaani jino kwa jino. Ungekuwa ndo wife wangu ungefanya nini na huyo ndo best yako?
 
Mkuu nunua KY Jelly utembee nayo kwenye gari, siku ukikutana na mumewe itakusaidia.
 

Mkuu wanafanya kazi sehemu moja ndo maana wako pamoja mda mwingi. Ila asante kwa gud advice
 
kula mara moja tu afu ukimbie.....
 

Penye red, wanatia huruma sana barabarani hasa kugombania daladala na kusimama muda mrefu ha ha ha aaaaa!
 
wanatia huruma sana barabarani hasa kugombania daladala na kusimama muda mrefu ha ha ha aaaaa!

  • Hata kama wanatia huruma, msaada kwake unaweza kuwa wa nia njema kabisa ila yeye akautumia vibaya.
  • Pia mazoe iliyojiwekea, mimi labla awe mwanaume mwenzangu tena kuwe na mvua inanyesha lakini kama kupo shwali na jua la bongo, aaiisssee hapati mtu lift, mabinti na wake za watu hao ndio kabisaaaa.
 
jaribu sana kumkwepa mara kwa mara, ukaribu utakusababishia mambo ya ajabu bila uamuzi wako, ucje kusema NINGEJUA
 
Yani we hujaona wanawake isipo kuwa wake za watu.
 
kula mara moja tu afu ukimbie.....

Duh..... Hiyo inaitwa HIT and RUN. Ninavyojua you have to hit and kill or disappear in the speed of light otherwise if you get stuck it will b a different story
 
Huna kichwa cha kufikiri? ina maana ukiulizwa 1+1 ni ngapi utakuja kuuliza humu jamvini? you're misusing the JF. Simple answer ni kusema NO la sivyo usubiri kuwindwa kama swala na mwenye mali.

Mwacheni ajifanye Handsome, kami ni mimi nikikukamata tu, ninakufanya kama ulivyomfanya mke wangu!
 
my dear Princess na mie nimeamua kumuenjoy mtoa sredi kama yeye alivyoamua kutuenjoy! Ina maana na utu uzima wake kwenye issue kama hii hajui nini cha kufanya?sasa matatizo mengine makubwa ya kifamilia hua anasolve vipi?khaaa:bathbaby:
atatuletea tumtatulie anataka spoonfeedng!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…