Ni mkoa gani unajitahidi kwenye huduma ya maji ya bomba?

Kilimanjaro
Siyo sehemu zote. Wilaya za Moshi na Hai ndipo penye uafadhali, Rombo Tarakea, Mwanga na Same maji ni shida mno. Kiujumla Tanzania maji safi na salama bado ni shida kubwa. Mikoa mingi wanapata maji maeneo machache tena chini ya 50%, lkn serikali inavyojua kujikosha utasikia upatikanaji wa maji ni 75% vijijini na 95% mijini. CCM hoooye!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…