Ni mkoa gani unajitahidi kwenye huduma ya maji ya bomba?

Ni mkoa gani unajitahidi kwenye huduma ya maji ya bomba?

Kilimanjaro(Moshi) unaweza ukaacha bomba linamwagika maji alafu fresh yaani na huwa hayakati!
 
Tanga wamejitahidi mkoa mzima, na Kilimanjaro Baadhi ya wilaya yapo yakutosha zaidi.
 
Kwa uzoefu wangu wa kutembea mikoa mbalimbali
1.Iringa
2.Njombe
3.Mara
4.Mwanza
5.Mbeya
6.kilimanjaro
Kwa mkoa mzima kutokuwa na shida ya Maji Hilo haliwezekani. Unaweza kuta municipal au halmashauri ndiko pekee kwenye Maji ya uhakika, lakini ukienda vijijini ni tabu tupu. Katika mikoa uliyotaja hapo, mikoa minne nina-experience nayo. Vijijini Maji ni shida.
 
Daslamu wapo vZuri haswa mitaa ya Kigogo, mabibo, maji chumvi, buguruni, gongo la mboto, tandale, buza huku maji masaa yote🥶
 
Back
Top Bottom