Ni mkoa gani unajitahidi kwenye huduma ya maji ya bomba?

Ni mkoa gani unajitahidi kwenye huduma ya maji ya bomba?

Mwanza maji ?😀😀 Acha vituko

Anazungumzia maji safi ya kunywa kwenye bomba sio maji yenye wadudu na typhoid
Mwanza kuna Shida ya upatikanaji wa Maji kwa maeneo hasa ya Pembezoni na Mji, ila ndio mkoa Pekee nakunywa maji ya bombani bila hata kuwaza na sujawahi kuugua kabisa Typhoid wala tatizo lolote sababu ya maji

Mkoa Typhoid ni kugusa tu Morogoro
 
Nimezunguka sehemu nyingi ila Iringa inafunga uzi.
 
Back
Top Bottom