Mwanangikolo Member Joined Nov 10, 2022 Posts 63 Reaction score 105 Dec 31, 2024 #61 Morogoro mjin ππ
mhuri25 JF-Expert Member Joined Sep 3, 2016 Posts 2,780 Reaction score 3,733 Jan 2, 2025 #62 Selikavu said: Mwanza Click to expand... Mwanza Ya wapi mkuu!?
mhuri25 JF-Expert Member Joined Sep 3, 2016 Posts 2,780 Reaction score 3,733 Jan 2, 2025 #63 Fortilo said: Mwanza maji ?ππ Acha vituko Anazungumzia maji safi ya kunywa kwenye bomba sio maji yenye wadudu na typhoid Click to expand... Mwanza kuna Shida ya upatikanaji wa Maji kwa maeneo hasa ya Pembezoni na Mji, ila ndio mkoa Pekee nakunywa maji ya bombani bila hata kuwaza na sujawahi kuugua kabisa Typhoid wala tatizo lolote sababu ya maji Mkoa Typhoid ni kugusa tu Morogoro
Fortilo said: Mwanza maji ?ππ Acha vituko Anazungumzia maji safi ya kunywa kwenye bomba sio maji yenye wadudu na typhoid Click to expand... Mwanza kuna Shida ya upatikanaji wa Maji kwa maeneo hasa ya Pembezoni na Mji, ila ndio mkoa Pekee nakunywa maji ya bombani bila hata kuwaza na sujawahi kuugua kabisa Typhoid wala tatizo lolote sababu ya maji Mkoa Typhoid ni kugusa tu Morogoro
Wagumu Tunadumu JF-Expert Member Joined Dec 10, 2022 Posts 5,276 Reaction score 17,354 Jan 2, 2025 #64 Kabanga
Mgaratia Wa bongo Member Joined Oct 4, 2020 Posts 72 Reaction score 76 Jan 2, 2025 #65 Shinyanga Municipal
Mstoiki JF-Expert Member Joined Oct 9, 2020 Posts 4,365 Reaction score 8,384 Jan 2, 2025 #66 Nimezunguka sehemu nyingi ila Iringa inafunga uzi.