Ni mnyama au mdudu gani akiingia chumbani huwa unakosa amani?

Pole
 
phobia
 
Najuta kuandika hapa kuhusu kuogopa mjusi ( vile vidogo) hapa niko sebleni chumbani kuna kimjusi sijui hata nifanye nini. Wakuu hivi ukiua kile kimjusi kuna madhara yoyote? Please unaejua naomba msaada
 
Yaani nyoka anaingia ndani na umeme unakatika chwaaaaa...ndio utajua kwanini Lucky Dube aliimba Nobody Can stop reggae...vile utarukaruka humo ndani....
Huu mfano tu umenitisha, kiukweli nyoka ni habari ingine kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ