Ni mnyama au mdudu gani akiingia chumbani huwa unakosa amani?

Ni mnyama au mdudu gani akiingia chumbani huwa unakosa amani?

Nyoka akiingia mimi basi iyo nyumba sitakaa nikaingia hadi uyo nyoka aonekane hai au amekufa.
 
Najuta kuandika hapa kuhusu kuogopa mjusi ( vile vidogo) hapa niko sebleni chumbani kuna kimjusi sijui hata nifanye nini. Wakuu hivi ukiua kile kimjusi kuna madhara yoyote? Please unaejua naomba msaada
we me au ke
 
Ambao napata kiwewe wakiingia ni tandu au nyoka....

Ninaowachukia hivyo lazima nihustle mpaka kuwamaliza ni mende, panya na nzi
 
Ambao napata kiwewe wakiingia ni tandu au nyoka....

Ninaowachukia hivyo lazima nihustle mpaka kuwamaliza ni mende, panya na nzi
kuna yule nyoka anayekaa katikati kwenye miguu ya wanaume unameogopa? Daa! usijali utani dada.
 
Back
Top Bottom