Ni movies zipi ambazo regardless na muda hauwezi kuja kuchoka kuziangalia?

Ni movies zipi ambazo regardless na muda hauwezi kuja kuchoka kuziangalia?

Apocalypto
Tears of the sun
Mission impossible zote
Borne identity zote
Behind the enemy line
Mr bean
Salt
The friends with benefits
Taken zote ( zilinifunza namna ya kuwa baba in real time nor matter what)
 
download.jpeg
 
sijakuelewa, ulishajib kwamba wale ni Mayans, nishakubali. nauliza tena kupata uhakika kwamba ile movie ilichezwa brazil au wapi? mana nilisikia plot yake ilikua amazon forest.
Ujaelewa nini hapo, Plot ni kama alivyosema hapo Kabira la Mayas ambao Ancienta Mexico so Movie ni inazungumzia jamii hizo za ki Mexico Plot ni storyline ile unayoingalia wewe kwenye Video yako.

Brazil ni sehemu ya kuigizia tu kupata mazingira mazuri hii ni production side so kuigiziwa Brazil haibadili Plot ya Movie kutokuwa ni Mexico kumbuka hata waigizaji ni watu wa kawaida kabisa in production ila in Big Screen tunaangalia kama Mayans.

Movie nyingi hutengenezwa hivi wewe zingatia Plot na Storylune ya Movie sio wame produce wapi zingine wana produce studio tu na Green Screen.
 
Zipo nyingi sana hebu ngoja nitengeneze list kwa faida ya wengine...
 
1. 3 idiots
2. Taken zote
3. Salt
4. Hitman
5. 13 hours: The Secret Soldiers of Benghazi
6. Shawshank Redemption
7. Black Hawk Down
8. Tears of the Sun
9. Tangled
10. Despicable Me 1n2
Wewe unapenda animation. Right?

Croods, The Incredibles, The Grinch, Zootopia, Minions, Rango na nyingine nyingi
 
Action
1. The Equalizer (zote) by the way napenda sana kutazama movies za Denzil huwa kuna akili nyingi sana inatumika.
2. The Punisher
3. Inside Man
4. Inception
5. Taken (zote)
6. The Commuter

Romantic Comedy
1. Guess Who
2. Meet the Parents na Meets the Fockers
3. No Strings Attached
4. Friends with Benefits

Animations
1. Surf's Up (zote) 😁
2. Madagascar (zote) 😁

List inaendelea....
 
Back
Top Bottom