Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Long time ago nilikuwa nafurahi sana kuangalia zile muvi zote ambazo waigizaji wametumia mazingira halisi kuigiza.
Mfano muvi za Rambo, Komandoo Kipensi, No retreat no surrender, Muvi ya Arnold Swaziniger ya kumkomboa mtoto wake Jeni, baadhi ya muvi za kijeshi, muvi za kungfu za Kichina i.e. Tai Chii, Shaolin Temple, Jack Chan, muvi za Kikorea za Historical Drama, pamoja na ile ya IRIS, Prison break, nk.
Yaani kuna muvi ukiangalia lazima usisimke!! Hizo ndizo muvi zangu pendwa.