Ni movies zipi ambazo regardless na muda hauwezi kuja kuchoka kuziangalia?

Long time ago nilikuwa nafurahi sana kuangalia zile muvi zote ambazo waigizaji wametumia mazingira halisi kuigiza.

Mfano muvi za Rambo, Komandoo Kipensi, No retreat no surrender, Muvi ya Arnold Swaziniger ya kumkomboa mtoto wake Jeni, baadhi ya muvi za kijeshi, muvi za kungfu za Kichina i.e. Tai Chii, Shaolin Temple, Jack Chan, muvi za Kikorea za Historical Drama, pamoja na ile ya IRIS, Prison break, nk.

Yaani kuna muvi ukiangalia lazima usisimke!! Hizo ndizo muvi zangu pendwa.
 
1.PK (Philosophy)
2.Pursuit of Happiness (Philosophy)
3. Two can play that game (Romance&Comedy)
4. For coloured girls
5. Friday (Zote)
6. Heriet
7. 12 Strong
8. 365 days

I’m soooo girly! 😅
 
1.spectre
2.legend of the seeker(kina wirzad of the first order)
3.walking dead
4.300 hundred 1 na 2
5.ninja assassin
6.fallen angel
7.the mummy 1&2 (ya the rock ya zaman sana)
8.london has fallen
9.14 blade
10.blood zote za rambo

Movie zingine apo za zaman Sana lakin hata Leo nikiangaliaga zinanoga tu
 
Hiyo sitcom namba mbili hapo kumbe bado inaendelea, nilijua walisha acha kuigiza, R.I.P uncle Phil
 
sijakuelewa, ulishajib kwamba wale ni Mayans, nishakubali. nauliza tena kupata uhakika kwamba ile movie ilichezwa brazil au wapi? mana nilisikia plot yake ilikua amazon forest.
Amazon forest iko nchi ngapi? Maana naskia ni msitu mkubwa sana
 
1.the gold
2.madeline goes to jail(comedy)
3.george of the jungle
4.men in black
5.mr bones
6.the undisputed
7.fearless kunfu master
8.drunken master
9.anaconda
10.dracula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…