Ni mpenzi mwenye kituko gani uliwahi kumpata? Mimi nilimpata huyu

[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu ungemjambia na kumnyea kabisa
 
Ma mdogo kwa ulivyo wewe huwezi ukakosa mimi sina shida nisimulie tu... sikuchapi wala
sina bamdogo kweli sijui sbbu nakutana na wanaume sio wavulana
 
Mamdogo leo ninafuraha ngoja nikatishe majukwaa mengine huu uzi haunitoshi
mmh bamdogo furaha gani au mamdogo mkubwa mkubwa kakubali kukuwowa eb ninongoneze bas
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…