Ni mpenzi mwenye kituko gani uliwahi kumpata? Mimi nilimpata huyu

Ni mpenzi mwenye kituko gani uliwahi kumpata? Mimi nilimpata huyu

Hahahaha wewe ni chizi haujaachagga kuota tu
Cc Inna
Hahaaaaa jiran si nilikwambia mtakatifu sijui kashapitia mademu 500 ata sielew kila siku ana wa kumtolea mfano
 
asee nilikutana na kademu hako sitasahau kalikua kajirani kangu ila kaswahili balaa kakija geto kuliamsha dude kananambia mpaka tuwaseme watu wa mtaa ndo nyegez zake zinapanda


mwanzo niliona uzushi basi nikawa nafanya kama utani naanza msema muuza duka wa mtaani kwamba inasemakana anatumia ulozi japo sina hata uhakika ukikaambia ivyo katauliza kweli huku kanavua nguo basi katakupa ubuyu kibao mpaka unajikuta bao tatu tayari...


kuja kutahamaki kila kakitaka mgegedo lazima katake umbea kwanza siku nikaona nikapge kibabe bila kusnitch watu hakakunipa ushirikiano hata ziwa ukinyonya gumu kama sanamu....


doooh nikaona ili tatizo nikakapga chini na mtaa nikahama sijui kaliishia wapi kale kamanz then nikapini balaa ila mashart YAKE sasa
[emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
habiba kikojozi.
baada ya kula bata sana alikuja na midola tukaanzia jolly kumalizia kwa macheni kisha tukaenda kuangusha ,gegeda inavyotakiwa,usiku demu anaota anakojoa,choo kipo humo ndani,lakini kakojolea nguo zote zilikuepo chini pale.dah naamka niende home jinz imeloa chapa chapa na inanuka kojo,

ikabidi nimwamshe ndo solution akaniazima pedo.
nafika home mama mwenye nyumba always yuko kibarazani ananiona na kipedo,ananiuliza mwanangu vipileo?nikamwambia mama we acha tu.
 
mi nilikutana na mpenzi ambaye ana maisha ya kibongo muvi... yaan ana simu mbovu.. mpunga hana ila stori zake sasa utachoka.." unajua baby.. jana baba kaniambia nisome eti marekani ni nimekataa... nimemwambia sitaki.. juzi mjomba kataka kuninunulia gari nimekataa... wananilazimisha nikae kwa bamdogo masaki mi siwezi kila siku nyama tu... wanasema kama hutak hatukununulii iphone 7 ..."
nilikuwa na balaa mwenzenu..!!!!
Thenge thaaanaa ww[emoji23] [emoji23] [emoji23] nmecheka kwa nguvu hlf nko kwa public vehicle
 
Mi nilikutana na mpenzi kila siku ananiambia ana mtu wake ila kanikubalia tu, siku nilipoamua kumuacha aendelee na mtu wake akazimia,alipozinduka akaniambia nikimwacha atameza vidonge na kujiua, kumbe hana cha mtu wake wala nini!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna mtoto mmoja alikuwa friend with benefits..alishanigeuza baba yake... halafu bado akawa na mchizi mwingine... I nilimkomesha Nilimkopa pesa kama nimepata dharura...baada ya hapo nikamwambia tuachane..ananiambia hela yangu nikamwambia kwan nilivyokua nakupa hela mimi baba yako???

Ananichukia saana paka leo
teh
 
M nlimpata mhehe, kila nkimgegeda anaapa haji kuja tena kwangu tena na machoz yanamtoka, anazma na cm apatkan wiki nzma, anakuja patkana cku ambayo ndo anakuja tena geto namgegeda anasepa apatkan tena. Nkaja gundua n mke wa mtu na ile n line special kwa ajil yang uwa anaiweka hewan cku aktaka nimgegede, Siku iliyofuata alpokuja geto nkamwambia kuanzia leo n mwanzo na mwsho kutia mguu hapa geto, akazmia nkampepelea akaznduka nkamgegeda akaenda zake, nmemgegeda sana, nashukur Mungu mmewe alpata uhamisho akaenda mwanza From Mbeya
Jamaan hahhah
 
mi nilikutana na mpenzi ambaye ana maisha ya kibongo muvi... yaan ana simu mbovu.. mpunga hana ila stori zake sasa utachoka.." unajua baby.. jana baba kaniambia nisome eti marekani ni nimekataa... nimemwambia sitaki.. juzi mjomba kataka kuninunulia gari nimekataa... wananilazimisha nikae kwa bamdogo masaki mi siwezi kila siku nyama tu... wanasema kama hutak hatukununulii iphone 7 ..."
nilikuwa na balaa mwenzenu..!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom