GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Tatizo ni makonda na polepole wanawadanganya wazee wa watu
Na siyo kila sokwe anaishi mbuga ya Gombe, wengine tunao mtaani ila hawajui kufunga vufungo vya suti na wanapiga usingizi kila wakiwa mkutanoni.
Na kazi ya kupiga risasi wapinzani mchana ni ya nani?Kumbuka uumbaji ni kazi ya MWENYEZI MUNGU. Wewe huwezi kuumba hata sisimizi au punje ya mchanga. Hujafa hujaumbika.
Kuna watu ukiwaona inabidi aidha uwakane au wewe ubadilishe kabila lako kwa muda. Hivi kwa umri wake Wasira anajitoa ufahamu ili apate nini? Mazishi ya heshima au kitu gani? Ulishawahi kuona Warioba au Butiku wakiongea utopolo kama huu?Mkuu cha Kunikera zaidi ni kwamba huyu Mzee ni wa kule kule ambako Wahaya, Wanyiramba, Wanyaturu, Waha, Warangi na Wakara wanapajua.
[emoji38][emoji38][emoji38]"Kuna watu wanagombea urais nimewasikia mwingine anasema ameonewa sana 'nimepigwa risasi', hiyo kupigwa risasi ni jambo baya lakini sio kila anayepigwa risasi anafaa kuwa rais, vinginevyo watu wote wangetamani kupigwa risasi ili wawe marais." - Stephen Wasira.
globalpublishers
Nyie Watoto wa Mzee Wassira akina 'nanihii' hebu jitahidi 'Kumzalia' huyu Mzee 'Wajukuu' wengi ili 24/7 awe 'busy' Kucheza nao tu kwani anaboa.
Tatizo Tanzania SIASA imekuwa ndio kila kitu wengine wanajivua hadi ubinafamu ili tu asije kosa ugali wake.
Makonda alikutoa Matenga?Tatizo ni Makonda na Polepole wanawadanganya wazee wa watu
Hapo sawa kabisaNa kazi ya kupiga risasi wapinzani mchana ni ya nani?
Nilutegemea wazee kama hawa waliokuwa wanafanya kazi pembeni na Baba wa Taifa wawe ni wa kwanza kumuambia Magufuli UNAKOSEA!! Kinyume chake nao wanaleta kejeli juu ya mtu aliyenusurika kufa kwa kupigwa risasi 16 na "wehu" waliotumwa na Serikali.
Ni kwanini mlitaka kumuua?Ukweli ndo huo.
Lissu anasaka kura za huruma