Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
- Thread starter
- #21
Mimi naweza kusema makampuni yote ya mafuta duniani yamejikita kwenye biashara ya utafutaji, uchimbaji, uzalishaji wa mafuta na gesi, usafishaji na utengenazi wa kemikali bila kusahau uuzaji.kusema eti TPDC wajikite kwenye kuuza mafuta, sijui kutengeneza mbolea etc ni kuwa 'under-utilize' kwa nguvu walinayo hawa wanatakiwa kujikita zaidi kwenye ku-explore petroleum & petroleum products kwenye ma-aquifer yaliyopo Rufiji delta, mabaharini, coastal region, lakes zones, etc.. hili la kusema kuwa hawana mtaji halikubaliki kwani hii ni taasisi ya serikali, wenzetu wa Brazili na Angola 'TPDC' zao zimewatoa kweli kweli, mara nyingine tukubali kujifunza njia walizo pitia adi kupata mafanikio, haingii akili kabisaa kwa 'Rufiji delta' kukosa mafuta au hata gesi ukweki ni kuwa hatuja fanya exploration za kutosha kwenye maeneo 'potential' mengi tuu yaliyopo nchini
Mfano mmoja tu nakupa
Kuna, kampuni inaitwa EXXONMOBIL hii kampuni inafanya hizo kazi zote
mfano mwingi ni British Petroleum (BP) inafanya hizo kazi zote.
Mifano ni mingi.
Kwa hiyo mimi sioni ubaya kwa TPDC kujitanua mkuu. Hilo swala lina faida nyingi sana. TPDC pale alipo anatakiwa kuwa na vyanzo imara vya mapato. Chanzo imara cha mapato ndio kama hizo biashara anazofungua ili akipata faida huko, anaweza kuitumia hiyo faida kwenye kuendeleza hizo shughuri za uendelezaji bila kutegemea mabeberu