Ni msanii gani ulizikubali nyimbo zake sana wa US!

California love ilimpa Tupac Shakur hela na umaarufu duniani!
 
Nadhani ndio huo
Licha ya kuwa technology ilikuwa sio sana that time lakini walitengeneza ma beat yenye ujazo mpaka sasa hazichuji wala haziboi.

Njoo huku sasa kwa kina laizer sasa utaishiwa na nguvu.
Ila kama unacheck vids utube kwenye commnts hata madogo wa sasa wanakubali kaka zao walikua wanatoa vyuma sio kama ss hv
 
50 Cent, the Paragon of Gangsta Rap....
Tokea mwaka 2003 - 2006 kulikuwa hakuna kama G-Unit....
 
Miss eliot- work it, get ur flick on

Marry j. Bridge- familly affair,be without u

Arrikah badru- love of my life

Eve- gotta man,satisfaction,gangstar lovin

Nelly furtado - turn off the right

P.diddy - ineed agirl 1&2,i will be missing u

R.kelly- fiesta 1&2, strorm is over

Mario- sorry 2004

Nelly- dillema, hot in here,my place

Jajed edge- where the party at

... - how deep is your love
Carlos santana- maria maria

Sean poul- im still in love with you

Usher- my boo,burn,my way,u remind me

Pharaell william-frontin
JLo- all i have,im real

Mystikal-danger
Mario winans - i dont wanna know

Ja rule- new york,mesmerize

Britney - genniein the bottle
Jeasica simpson - i wanna love u forever

50 cent- wankstar, in da club
Chingy- balla baby



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Move bitch ya luda cris ilikuwa haina mpinzani mkuu! Uliza mtu yeyote na bado kuna busta ile na Mariah Carey
Hahahaha, braza miaka ya 2000's mwanzoni nadhani kwenye HipHop hakukuwa na mtu kama 50 Cent.
50 Cent alishindana na wasanii wa Roc-Nation kama Beanie Siegel na Camron akawakalisha..
Ludacris ni mkali sana, lakini kwa 50 Cent hapana, abaki kushinda na kina T.I.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…