mshale21
JF-Expert Member
- Apr 8, 2021
- 2,126
- 5,068
Yap!Busta rhymes I know what you want hicho kibao kikali kinoma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yap!Busta rhymes I know what you want hicho kibao kikali kinoma
Huu wimbo naukubali mpaka kesho....bonge la songi....Busta rhymes I know what you want hicho kibao kikali kinoma
Nadhani amegusia kiujumla.Move bitch ya luda cris ilikuwa haina mpinzani mkuu! Uliza mtu yeyote na bado kuna busta ile na Mariah Carey
Kuna ile ngoma ya Ja-Rule ft. Ashanti...Jamaa ws huko mambele kitambo hicho walikuwa na madude ya kibabe sana kmmk.
1 fat joe, Ashanti- what's love
2; dr dre - still dre
3;dre -been there done that
4: dillema -nelly,kelly Rowland.
Kuna pini moja la yule jamaa ice cube ni bonge la beat bwana weeh..
Binafsi huwa namkubali sana mwanamama Alicia keys nakibao chake cha fallin. Moja kati ya vibao vikali mno kuwahi kutoka kwake. Je wewe unamkubali msanii gani na kibao chako pendwa?View attachment 2315568View attachment 2315569
Mesmerized
Na ngoma ya Fat Joe- make it rain remix.. Ft. Rick Ross, TI, R-Kelly... Weee.. Bonge la ngoma.Jamaa ws huko mambele kitambo hicho walikuwa na madude ya kibabe sana kmmk.
1 fat joe, Ashanti- what's love
2; dr dre - still dre
3;dre -been there done that
4: dillema -nelly,kelly Rowland.
Kuna pini moja la yule jamaa ice cube ni bonge la beat bwana weeh..
Ndio najua leo hii mdau ila nelly daaahHuyu jamaa kile kiplasta chake pale shavuni [emoji3][emoji3][emoji3] mabishoo wa bongo walijua ni style kumbe jamaa alikua anaficha kovu [emoji1][emoji1][emoji1] mbele unyamwezi mwingi saaaanaaa [emoji482]
Hahahahaaa... Cent noma sana... Na ile swaga yake ya kuimba kama ameng'ata meno...noma sana..50cents huyu mwamba alikua anapendelewa sana beat nyimbo zake hana beat mbovu
Huyu jamaa kile kiplasta chake pale shavuni [emoji3][emoji3][emoji3] mabishoo wa bongo walijua ni style kumbe jamaa alikua anaficha kovu [emoji1][emoji1][emoji1] mbele unyamwezi mwingi saaaanaaa [emoji482]
Sijaiweka hapo kwa maana maalum mkuu. [emoji2][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Na ngoma yake alopiga na lil Tjay "mood swings", hii ikiimbwa kwa kiswahili msanii anafungiwa kusikia na kuongea
Weka tu albam nzima ya get richSijaona kama 50 CENTS
Amusement Park
Window Shopper
In Da Club
Many Men (Wish Death)
Candy Shop
Lil Bit
Stunt 101
Disco Inferno
Best Friend
Ayo technology
Baby Buy Me
I Get Money
Wanksta
Pimp
Outta Control
If I Can't
Whats up Gangstar
Straight to the Bank
Pa kuna mwamba anaitwa TALIB KWELI. Ukipata ngoma zake kama
Deliver Us (Hostile Gospel Pt 1) na
Holy Moly
Utaenjoy sana.