Ni msanii gani wa Comedy unaona kabisa hamnaga kazi ila ndo hivyo tu

Binafsi, kuna huyu wa kujiita Shafii Comedy. In short hakuna anachofurahisha. Ni kama alilazimusha tu kuwepo huko, na watu ambao wameamua kumpiga tafu tu, Hakuna kitu kabisa aisee

View attachment 3188397
Kwako ni yupi unaona kabisa hamna kazi
Joti.

Alianza na comedy kweli, lakini sasa anaact matusi ambayo kwa comedians wengi wa bongo huita comedy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…