Ni msanii gani wa Comedy unaona kabisa hamnaga kazi ila ndo hivyo tu

Ni msanii gani wa Comedy unaona kabisa hamnaga kazi ila ndo hivyo tu

kuna member aliwahi niambia nisimseme vibaya mtu anayefanya kazi halali inayomuingizia kipato

lakini comedy ni kazi ya sanaa, sisi hadhira tuna haki ya kuchambua na kukosoa


Mkojani sijawahi kumuelewa.
We ng’ombe hunijuiiiiiiiii ntakutoa kishipa 😹😹

Kitambo nilipandaga Golden deer basi njia nzima ni mkojani mpk tukamwambia konda aache ufala atutolee upuuzi.!!
 
Back
Top Bottom