Ni msanii gani wa Comedy unaona kabisa hamnaga kazi ila ndo hivyo tu

Ni msanii gani wa Comedy unaona kabisa hamnaga kazi ila ndo hivyo tu

Huyu Mkojani hii character ishakua ya hovyo tofauti na movies za kwanza.

Na yeye hajui kitu tena.

Kuna huyu anajiita Mr Pimbi na kikundi chake.

Mapochopocho ni wa hovyo. Kuna jamaa ni mfupi yupo mule with the right script anaweza kua mchekeshaji mzuri.

Nani tumpe lawama? Al Riyamy, ambaye kila mtu mwenye disability alimterm kama comedian na kufosi awe kwenye screen. Legendary kama Majuto akawekwa na below average actors na yeye akaonekana mbovu.

Mpoki na Joti siku hizi hamna kitu.

Eric hamna kitu, Shangazi hamna kitu, Mangi Mtata hamna kitu, anyway, Al Riyamy yote ilikua hamna kitu ukitoa Defender, Kinyambe na Majuto.
 
kuna member aliwahi niambia nisimseme vibaya mtu anayefanya kazi halali inayomuingizia kipato

lakini comedy ni kazi ya sanaa, sisi hadhira tuna haki ya kuchambua na kukosoa

Mkojani sijawahi kumuelewa.
Mkuu mbona umeanzia mbali sana😂😂😂. Hakuna haja ya maelezo mengi. Mie mwenyewe naonaga hamna kitu pale. Badala ya kucheka kwa kile wanachofanya unajikuta unawacheka wao, mtu ANAKULAZIMISHA UMCHEKE
 
kuna member aliwahi niambia nisimseme vibaya mtu anayefanya kazi halali inayomuingizia kipato

lakini comedy ni kazi ya sanaa, sisi hadhira tuna haki ya kuchambua na kukosoa

Mkojani sijawahi kumuelewa.
Mimi yule Mkojani huwa naamini mganga wake anajua sana. Sioni sababu ya yeye kuhodhi filamu za kwenye mabasi.
 
Binafsi, kuna huyu wa kujiita Shafii Comedy. In short hakuna anachofurahisha. Ni kama alilazimusha tu kuwepo huko, na watu ambao wameamua kumpiga tafu tu, Hakuna kitu kabisa aisee

View attachment 3188397
Kwako ni yupi unaona kabisa hamna kaziC
Binafsi, kuna huyu wa kujiita Shafii Comedy. In short hakuna anachofurahisha. Ni kama alilazimusha tu kuwepo huko, na watu ambao wameamua kumpiga tafu tu, Hakuna kitu kabisa aisee

View attachment 3188397
Kwako ni yupi unaona kabisa hamna kazi
MC mandevu ndiyo mchekeshaji Wangu Bora Kwa SASA baada ya Mzee majuto kufariki
 
Back
Top Bottom