Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo kale kanakosema my hens boy 😅😅Talking about huyu...kuna mbibi aloruka stage anajiita Ashura kiuno amekuwa featured kwenye hizi skits za huyu, jamani jamani..tusali tupate uzee mwema. Aibu naona mimi maana yule ni bibi yangu kabisa lakini roles anazopewa ni aibu...tusaidie wazazi jamani tusije wakuta mitandaoni huko wakifanya vitu vya aibu.
Sasa Steve mweusi unacheka nn labda weusi WakeWachekeshaji wangu bora kwa sasa ni;
1. Tin White
2. Steve Mweusi
Dullvan hamna kitu paleeKuna watu wamemtaja Dullvani, leo ndio mmenisanua kama nae huwa anachekesha. Maana namuonaga na midera tu
Nakazia aiseeDullvan hamna kitu palee
Huku kwetu wanaweza kumudu gharama za kuwa na vyote hivyo mkuu? If yes, can it pay them as much? Ndyo maana mtu akishakuwa na smartphone tu au kacamera na kujua kuedit basi anahisi nae anaweza akachekesha.Comedy
1. Ni Ngumu Kwa Sababu huwezi rudia contents you must have something new every time tofauti na wasanii wa nyimbo.
2. Lazima. Uwe na management. Content creators. Ili ukifika stage you deliver as per plan. Behind the scenes. Kuna majamaa ambao ni wabunifu. Sana. Most Successful comedians ndo wanafanya hivyo. Hawako peke yao. Content creators/writer lazima awepo.
3. Inteligent..Msanii ambae hana akili nyingi na ubunifuu lazima uboe..lazima.uwe mwanasaikojia kujua watu wanataka nini and you must have a. Back up joke if the first one din't work.and should be delivered instantly.
Ni wabongo tu ndo hawanichekeshi, wengine nacheka. Au sina uzalendo?Bandama yako ina shida...😃😃 (natania tu)
Wabongo umewazoea hivyo huoni jipya kwao...Ni wabongo tu ndo hawanichekeshi, wengine nacheka. Au sina uzalendo?
Nilivyoona title ya uzi nimecheka sana 😂😂😂Rayns njoo usemee hapa ni comedian yupi usiyempenda
Mtaje kaka huenda ni MimiNilivyoona title ya uzi nimecheka sana 😂😂😂
Ni msanii gani wa Comedy unaona kabisa hamnaga kazi ila ndo hivyo tu
Kuna msanii mmoja basi tu, nikiangalia video zake huwa nawaza hivi na wengine wanavyoangalia huwa wanamhurumia kama mimi 😂😂😂
Hapana mkuu, ww ni DJ, sitaki kukatisha watu tamaa 😂Mtaje kaka huenda ni Mimi
Hahahaha 😂 🤣 wewe Sasa usipo mtaja nitamuita yule jamaa qlokufanya nikufahamuHapana mkuu, ww ni DJ, sitaki kukatisha watu tamaa 😂
Hahaa 😂 kipindi kile nabadili hadi username 😂😂😂 watu wabaya sana mkuuHahahaha 😂 🤣 wewe Sasa usipo mtaja nitamuita yule jamaa qlokufanya nikufahamu
Aiseee naona Evelyn Salt alikukazia kinoma!!🤣Hahaa 😂 kipindi kile nabadili hadi username 😂😂😂 watu wabaya sana mkuu