Ni msanii gani wa Comedy unaona kabisa hamnaga kazi ila ndo hivyo tu

Ni msanii gani wa Comedy unaona kabisa hamnaga kazi ila ndo hivyo tu

Binafsi, kuna huyu wa kujiita Shafii Comedy. In short hakuna anachofurahisha. Ni kama alilazimusha tu kuwepo huko, na watu ambao wameamua kumpiga tafu tu, Hakuna kitu kabisa aisee

View attachment 3188397
Kwako ni yupi unaona kabisa hamna kazi
Ata mpoki Huwa hachekeshi ni basi tu. Anatumia miguvu kibao ila wapi.i kwangu yule ni hakuna kitu.
 
Kuna hawa;
Juma Jicho
Said Said
Asma
Rais wa First year
Sema comedy nayo imegawanyika..kuna wale wa Clips na StandUp comedy.. nawakubali Sana Mpoki,Baba Levo,Ndaro, MC Mboneke, TX Dullah, Leonardo, Mr. Black, Nanga, Kanubo na Kidege, Rakeem,Mzamiaji(Munga)Jol master sema nae uyu Jol sometimes Ana elements hivi sizielewagi
 
Njoo nikutekenye, ukicheka basi Leonardo hajui kuchekesha ila usipocheka basi kitufe chako Cha kucheka kitakufa kimekufa.
Sanaa ya uchekeshaji naona ni kama nyimbo, kila mtu anapenda wimbo wa aina flani. Hata Marehemu Majuto Kuna mtu niliwahi msikia alisema hamkubali Majuto. Kwa kifupi wapo wanaochekesha lkn wasivutie kila mtu
 
Stand comedy is the hardest Job ever
Ni kweli stand up comedy ni ngumu ila haizidi forex trading. Hii kazi unaweza kufanya hata miaka 10 nausitoboe, haitakiwi ujanja ujanja kama kazi nyingine.

Kutoboa kwenye forex unatakiwa uwe super intelligent. Ukiweza kufanya forex na ukafanikiwa basi wewe ni legend hakuna brain work yoyote itakayokushinda. Forex ni sio kazi ya wachumba & warembo, ni kazi ya moto kuliko jua mpaka utoboe.
 
Huyo Jol master ana viashira vya upinde..sipendi kabisa kumwona hana analofanya ni upuuzi mtupu...nimewaambia wanangu hakuna kuangalia huo upuuzi maana katikati lazima waweke upupu...
 
Ni kweli stand up comedy ni ngumu ila haizidi forex trading. Hii kazi unaweza kufanya hata miaka 10 nausitoboe, haitakiwi ujanja ujanja kama kazi nyingine.

Kutoboa kwenye forex unatakiwa uwe super intelligent. Ukiweza kufanya forex na ukafanikiwa basi wewe ni legend hakuna brain work yoyote itakayokushinda. Forex ni sio kazi ya wachumba & warembo, ni kazi ya moto kuliko jua mpaka utoboe.
Naona unakipigia promo kitengo
 
Back
Top Bottom