Ata mpoki Huwa hachekeshi ni basi tu. Anatumia miguvu kibao ila wapi.i kwangu yule ni hakuna kitu.Binafsi, kuna huyu wa kujiita Shafii Comedy. In short hakuna anachofurahisha. Ni kama alilazimusha tu kuwepo huko, na watu ambao wameamua kumpiga tafu tu, Hakuna kitu kabisa aisee
View attachment 3188397
Kwako ni yupi unaona kabisa hamna kazi